cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,371
- 188,079
P. Mbna mie nilikuamini na nkakupa? Ko wee ni muoga hivyoo?Namba yako nliifuta baada ya kupata taarifa tunakaguliwa simu zetu. Nlihofia usije nawewe ukakamatwa maana wewe ndio muhamasishaji mkuu wa maandamano. 😅 ngoja niangalie namna nikuunge hata bando la mwezi mzima.
Sasa D9 utatoka kweliii? 😂😂😂😂😂
Haya fanya hivyo Dear ake P. Mwezi mzma naserereka bureee. Woiiiiih