Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,108
- 41,776
Acha nifurahi tu ndugu ,we live onceUnacheka nini mama mchunga๐ค
Kabisa madam , upite chap na wew basi.Acha nifurahi tu ndugu ,we live once
๐๐
Oooh sawa ,kwa ratiba hii kweli tukutane MwakaniHuko mpk next Yr ,Dar na Arusha huwa ni mwanzoni mwa mwaka....
Tumemaliza ir juzi,
Keshokutwa tunaanza Njombe,next week j5 tunaanza Mbeya ndo Seminar ya mwisho tukutane mwakani!
Umeniita babe
Mimi mkubwa hivi nimekua baby๐คฃ tupia picha moja basiUmeniita babe
Kumbe hujui? Sikuhizi kila mtu anataka kuitwa baby ohooMimi mkubwa hivi nimekua baby๐คฃ tupia picha moja basi
Fanya utupie kwanza, mimi mpya nitaipiga tuKumbe hujui? Sikuhizi kila mtu anataka kuitwa baby ohoo
Nasubiri yako itangulie nifatie๐
Mwenyew sina mpya๐ ngoja kuna moja ya harusini juziFanya utupie kwanza, mimi mpya nitaipiga tu
Nimekuja mbioMwenyew sina mpya๐ ngoja kuna moja ya harusini juzi
Dahh nimekuta mavideos tu picha ina kitambi kama mimba nmeishiwa pozi๐Nimekuja mbio
Hahahaha kwani kitambi kinawasha ?Dahh nimekuta mavideos tu picha ina kitambi kama mimba nmeishiwa pozi๐
Nmepost ujue! Naomba tulia ili uone niifute๐Hahahaha kwani kitambi kinawasha ?
Mdada mzuri mno ๐
Whabeja sana๐Mdada mzuri mno ๐
Toto la kisukuma sio๐๐๐Whabeja sana๐