ππππSaivi umenenepa mashallah chuo kilikukondesha sana. Ngoja namimi niangalie namna ya kuliongeza bando lako.
Sikujazi we jitazame kwenye kioo vizuri kwa jicho la tatu utaona namna ulivyo mzuri kiufupi huna mpinzani. Yaani wewe hata nikienda kuomba mkopo fasta napewa kwa uzuri wako.ππππ P Hii yote umeitoa wapii?
Acha kunijaza plz.
Woiiiiih.
Nasubiri na bundle ulilo sema, nidevelekee.Sikujazi we jitazame kwenye kioo vizuri kwa jicho la tatu utaona namna ulivyo mzuri kiufupi huna mpinzani. Yaani wewe hata nikienda kuomba mkopo fasta napewa kwa uzuri wako.
....Code za kitaaa ss ππ Seran
I'm a man of my words, na ulivyo pisi kali lazima nigharamike ili nizidi kuliona tabasamu lako πππππ
Nasubiri na bundle ulilo sema, nidevelekee.
P huna bayaa.
ππππ wee P nenda kulee, kaone kitu.I'm a man of my words, na ulivyo pisi kali lazima nigharamike ili nizidi kuliona tabasamu lako π
ππππππ
πππ....
Mtumishi salama lkn?πππ
Kabisa KabisaMtumishi salama lkn?
Nimepitwa jmnππππ
Chuo kilinimaliza mwili wote, si unajua msoto wa Mlimani??
Sahivi mwili wangu umeanza kuonesha shukrani ya ugali na pitiku naoupa.
Huhuhuh.
Afu hii comment ya Reply kwa picha, ungeondoa ili kuondoa picha ktk uzi huu.
πππ
Utatishaa sanaa.
Mama mtumishii upoo?Nimepitwa jmn
Pia mimi nimepitwaMama mtumishii upoo?
Mbna mie nilipitwa na Money gram.Pia mimi nimepitwa