Selfika na JF: Snap it. Show it

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Anza we Meku, afu ulinambia mie siku ingine kuhusu Money Gram.
Sasa iwe Leo jamaniii.
Coca labda nilikua nimelewa , ebu fanya bia zangu zikae mahali pake usiku wa leo basi๐Ÿค—
 
Meku Pa1 na kuishi mambele huachi asili ya migombaniii?..
We ndo ufanye Western union, na siku iende poaa.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Cocaa , mimi kula pombe ni kama torati , kiukweli napenda pombe sana ๐Ÿ˜‰
 
P? Nani kakuambia mie nimechumbiwa? Wakati nakusubiri baba Unisitiri.
Usifanye hivyo bhana, fanya jambo watu wale ubwabwa kupitia sisi
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Embu nibless na selfie moja matata cheupe wangu tena kipotabo msafi wa songea, namimi nikubless na bando la kukupotezea muda wako adhimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ