Tuko makini bro๐Kamanda Nyamwi hajapita kuwafanyia Doria humu ?
Kuweni Makin Sana ๐
Shindii full mbona niliselfika mamaHaya selfika full sasa nikuone.
Baadae Usiku.Pita tena basi
Poaa P, ulipotelea wapi weyeee??Coca vp mambo
Fanya moja tu , tupo wawili tu hapaBaadae Usiku.
๐๐๐๐Fanya moja tu , tupo wawili tu hapa
Nimehamia jukwaa la makapuku baada ya kusikia umechumbiwa.Poaa P, ulipotelea wapi weyeee??
Nilikumic hatariii.
Coca labda nilikua nimelewa , ebu fanya bia zangu zikae mahali pake usiku wa leo basi๐ค๐๐๐๐
Anza we Meku, afu ulinambia mie siku ingine kuhusu Money Gram.
Sasa iwe Leo jamaniii.
P? Nani kakuambia mie nimechumbiwa? Wakati nakusubiri baba Unisitiri.Nimehamia jukwaa la makapuku baada ya kusikia umechumbiwa.
Meku Pa1 na kuishi mambele huachi asili ya migombaniii?..Coca labda nilikua nimelewa , ebu fanya bia zangu zikae mahali pake usiku wa leo basi๐ค
Cocaa , mimi kula pombe ni kama torati , kiukweli napenda pombe sana ๐Meku Pa1 na kuishi mambele huachi asili ya migombaniii?..
We ndo ufanye Western union, na siku iende poaa.
๐๐๐๐๐
Wachaaa wee bas sawaa!!!Cocaa , mimi kula pombe ni kama torati , kiukweli napenda pombe sana ๐
Karibu sana.. utakunywa nini leo๐Nimekuja mama mchungaji
Vodka tu mama angu๐Karibu sana.. utakunywa nini leo๐
Hii hii au kuna nyingine๐Vodka tu mama angu๐
Embu nibless na selfie moja matata cheupe wangu tena kipotabo msafi wa songea, namimi nikubless na bando la kukupotezea muda wako adhimu.P? Nani kakuambia mie nimechumbiwa? Wakati nakusubiri baba Unisitiri.
Usifanye hivyo bhana, fanya jambo watu wale ubwabwa kupitia sisi
๐๐๐๐๐
Hakuna nyingine kipenzi ๐คHii hii au kuna nyingine๐
Wewe haunywi pombe coca?Wachaaa wee bas sawaa!!!
Sawa bas ukibaki pekee nishtue๐Hakuna nyingine kipenzi ๐ค