Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,911
- 82,210
Mambo πMara hii una miaka 39?
MhmmmmNitaselfika wikiend then nafuta haraka
Mambo π
Ashiki zimemponza sema Jawad nae anampenda ndio maana anamfata fata sema Basel kanichekesha SanaπππPoa! Faith mjinga kaniudhi
πππYeah hapa nimelewa mno , hiyo ndio miaka yangu halisi , wanasema pombe haidanganyi ile 33 ni uongo aseee
Msamehe ππWewe mwenyewe una matusi
Nitampasua mimiMsamehe ππ
Sure nime amua kutumia matusi coz nimegundua hawa digi digi wa humu bila kuwatukana hawafurahi , sasa kama juzi kuna mbwiga sijui hata katokea wapi kwanz I'd yake ya 2007 huko eti ananitisha ananifahamu na anaomba vita na mimi na familia yangu haitakua salama , ile siku nilimtukana vibaya sana na mods wangeona kabla sijafuta ingekua kisangaπ€£Wewe mwenyewe una matusi
πππSure nime amua kutumia matusi coz nimegundua hawa digi digi wa humu bila kuwatukana hawafurahi , sasa kama juzi kuna mbwiga sijui hata katokea wapi kwanz I'd yake ya 2007 huko eti ananitisha ananifahamu na anaomba vita na mimi na familia yangu haitakua salama , ile siku nilimtukana vibaya sana na mods wangeona kabla sijafuta ingekua kisangaπ€£
Seran kalokole kaa mbali nitakutengua kiuno tafadhali ππππ
Una mikwara kama fei πππNitampasua mimi
Sa mi nmefanyaje jamn πSeran kalokole kaa mbali nitakutengua kiuno tafadhali π
Kg3 kwa mwez mmoja nyingi sana bwashee.... unless unapiga sana tizi au uliumwa.....punguza kamnyweso π πephen_ Vincenzo Jr Chica Gee Mahondaw Atoto binti kiziwi
Now nimepunguza kg 3 kwa miezi miwili urefu sm 187 umri 39, kg 77 now .
View attachment 3485685
Kaka mimi napiga tizi kama chizi , pia nakula pombe na wewe hauwezi gundua kama mimi nakula pombe kwa mtazamo tuKg3 kwa mwez mmoja nyingi sana bwashee.... unless unapiga sana tizi au uliumwa.....punguza kamnyweso π π
πππππππKatika mtu namwamini humu kwa 100% kama mdogo wangu ni ephen_ hata nilewe vipi nakapotezea tu ka rafiki kangu haka