Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 14,131
- 33,902
Kususa susa, kudeka, viaibu aibu, hiyo ndiyo haiba ya kike. Yani ukifanya hivyo ndiyo kwanza unawavutia zaidi πNimesusa sitaki tena
Basi niseme nimeghairiKususa susa, kudeka, viaibu aibu, hiyo ndiyo haiba ya kike. Yani ukifanya hivyo ndiyo kwanza unawavutia zaidi π
Hii nayo wataigeuza na kusema, wewe ni "sitaki nataka"Basi niseme nimeghairi
Sawa kiongozi π ππ π π .. Zina kazi maalumu hizo
ππSawa kiongozi π π
Utasema tu πππHahahahaa nimeshindwa kumwekea wa mbuzi
π π π ni kwel na huwa nakafuatilia kimya kimya kajinga hakaπ€£π€£π€£π€£
Upo kweli?
SitakiKaone
Si hii nakutumiaKawaida
mkuu una delivery nataka vyote hivyo na ni wapi ?
Ngoja niendelee kuwazoom mnavyoruka ruka nione mtaishia wapi π πephen_ mzuri nitumie msg mama
Sawa mkuu, nitakucheki. Nipate vitu hivyoBuguruni bwashee
Mie natoka pemba shekheSawa mangi
Kweli π
Si hizi comments unareply, utasemaje uzioniSioni asee,mara ya mwisho kuona ni mwezi umeisha baada ya haya marekebisho
Kaza hivyo hivyo, akuhangaikie kidogo π πSi hizi comments unareply, utasemaje uzioni
Asante mkuuSawa madam mzuri ila nakuzimia aseeeπ€£
ππ vacationKweli π