Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Shangazi niko lele lele.

Hiyo cake ni nzuri nimeipenda. Cravings zimekick-in.
Karibu nyumbani shangazi,. Wenyewe tuko yente yente kukupokea 🤸

Wifi yako atakua anakutengenezea kila siku ni wewe Tu kumwambia umeamka na flavour gani kichwani😻😋 ( This woman can make you anything isipokua a human being)
 
Karibu nyumbani shangazi,. Wenyewe tuko yente yente kukupokea

Wifi yako atakua anakutengenezea kila siku ni wewe Tu kumwambia umeamka na flavour gani kichwani😻😋 ( This woman can make you anything isipokua a human being)
Huwa naimagine nikiishi na a baker, hivi si huwa mnafaidi sana zile anazotoa toa pembeni pembeni sijui zaitwaje…. Kama kwenye wali ule ukoko 😅

Asante kwa kunikaribisha sangasi (kikwetu tunaitwa hivi)
 
Sio Tu za pembeni,. Ukibaki mchanganyiko anawatengenezeeni vidogo vidogo vya kunywea na chai 😋😂😂
 
Back
Top Bottom