Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,253
- 79,836
Nipo masta kitambo sana sijakuona jukwaani 😁Kwema ndugu upo powa
Nipo masta kitambo sana sijakuona jukwaani 😁Kwema ndugu upo powa
😃😃Chungwa gani ? La SUMA LEE AU CHUNGWA LINGINE 😊😂
Hapa ndio narudii home nili PATA deal la 30,000 kwenda chanika.Nikitoka job nitakushtua
Saivi nasoma sana kuliko navyo comment 😊Nipo masta kitambo sana sijakuona jukwaani 😁
Hako hapo chukuaKa wewe
good to see you around brotherSaivi nasoma sana kuliko navyo comment 😊
Nipo humu leasure time yangu yooteee
😅 umenitaimu kama navyotaka kumtaimu min -me
Tumechukua😊Hako hapo chukuaView attachment 3476757
Kama sitakuwepo nipigie simu, namba yangu anayo mpwa wako.Nikitoka job nitakushtua
Haaahaa 😂 😁😅 umenitaimu kama navyotaka kumtaimu min -me
😍😍😍😍,.
good to see you around brother
VizuriTumechukua😊
Mrembo, na mi niko singular. Hebu fanya mpango upate mama mjomba 😅😍😍😍😍,.
Nina Anko wangu Yuko single jamani
Mkono tuu 😁😂 umetupunjaVizuri
Hapa bila shaka ni abroad
Weuuwwwe😍😘,. Hatimaye na Mimi nimepata shangaziMrembo, na mi niko singular. Hebu fanya mpango upate mama mjomba 😅
It's so hot in here...Mko wapi wikiendi hii?
Lee wewe huwa unatupunja sana...Hako hapo chukuaView attachment 3476757
Hebu Mimi😏😂Mkono tuu 😁😂 umetupunja