Hapana mkuu nilikua na management tuka shindwana, sababu mashrti niliangalia future nikaona Hawa watan chelewesha, nijisimamie mwenyewe, fashion design ni gharama Kuna vitu natakiwa ninunue na vitendea kazi ikawa ngumu, hivo nikaona nianze na modelling kwanza mengine baadae