Selfika na JF: Snap it. Show it

Hii case ishakua ngumu, hebu fanya utafiti ili ujipatie uhakika, afu uniambie.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hii case ishakua ngumu, hebu fanya utafiti ili ujipatie uhakika, afu uniambie.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Utafiti upi? kwamba we ni me au mke wa jamaa? nisikilize Nina more alternative na Nisha jipanga kwa lolote mfano mbona Kuna surgery za kubadili vifanyio inabadili unawekewa nyapu na titi unawekew
Hii case ishakua ngumu, hebu fanya utafiti ili ujipatie uhakika, afu uniambie.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Utafiti upi Yani kama we ni me au ni mke wa huyo JAMAAA? Kama ni me na umerizia kua ke si unafanya surgery unawekewa hormone replacement therapy, vaginoplasty ili usiingiliwe kinyume, labda kuongeza titiii na tako kidogo then unaanza ISHI poa bado sioni kama Kuna visibility yoyote japo mungu anachukia ndo Dunia na maana ya Dunia ni vitimbi vya wanadamu mungu tusamehe tusi fike huko but kama unamanisha we ni mke wa jamaa na umemuelewa mi sina pingamizi it upon you, we ndo unaechagua muelekeo kutokana na hisia znavo KUTUMA


Fullstop, kwishaaaaaaa
 
Hapo Hujarogwa? Je ukirogwaa?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hapo Hujarogwa? Je ukirogwaa?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hahahahaaaaaaaa coca mi Haina hata haja ya kuniroga nikisha penda, kwishaaaaa habari YANGU labda uzingue weweeeee, mana mi ni msukuma sa tunalindwa na mizimu nikirogwa mizimu yetu inachukia beibii we nipe UPENDO TU ni limbwata tosha



Fullstop kwishaaaaaaa
 
Hahahaha,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…