binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 15,358
- 41,649
Siku hizi sijui kama pako moto, Na wale wahindi wahindi sijui kama bado wapo.Kweli mimi Sipo ๐น๐น
Kuna mwingine alikuwa anaitwa Ney mpk nikahisi ndo wewe..!! Watoto wa Patel ni ๐ฅ๐
hahaha! Kitu ambacho sikiwezi ni kukudanganya!We unaanza kuwa Katuga unachomoa karatasi ๐น๐น
Hii kesi nakupa wakili akutetee unaanza uongo..!!
Nyie Gen z ndio tunawategemea muikomboe nchi hii!Yaan mie ndo nachoka, muhimu nitue kwa tirampu, mengine yatajiseti huko huko.
Siwezi kuhangaika na uchumi uko chini ya kiuno changu.
๐๐๐๐๐๐
Trump tena duh!๐ nikisahau waungwana mnikumbushe. min -me nikumbushe march nna jambo langu kutoka kwa Trump ๐น
Itakuwa mbaya na hivi mwenyewe kashafariki..!! Hata wasanii wale wa kuburudisha km kipindi kile hawapo..!!Siku hizi sijui kama pako moto, Na wale wahindi wahindi sijui kama bado wapo.
Nasemaje nakupatia wakili wa jamhuri akutetee hii kesi peke yako hutoboi chino ๐นhahaha! Kitu ambacho sikiwezi ni kukudanganya!
Naanzia wapi
Kazi nzuri, si unajua mi msahulifu..!! ๐๐๐ usijali naandika kabisa hapa kwenye kitabu cha kumbukumbu zangu
Nataka kukimbia deni la taifa usiogope kiongozi ๐Trump tena duh!
Nasikomi; Bado nang'ang'ania watu wenye ndalama.Nasemaje nakupatia wakili wa jamhuri akutetee hii kesi peke yako hutoboi chino ๐น
Mambo mengi ndio maana ๐Kazi nzuri, si unajua mi msahulifu..!! ๐
Ndalama zipi tena?Nasikomi; Bado nang'ang'ania watu wenye ndalama.
Noma sana๐น๐น๐น
๐น๐น๐น Halafu hii week nitapoteaMambo mengi ndio maana ๐
Sisi tupo tu , tunalinda siti yako๐๐น๐น๐น Halafu hii week nitapotea
Kuna mmoja alinichekesha humu.Noma sana
Hahahaha hi stori umenikumbusha mbali sana๐ ๐ ๐Kuna mmoja alinichekesha humu.
Eti, โBaridi la Mbeya unapiga dog style huku umejifunika shukaโ nilicheka ๐น๐น๐น
Gen z wabongo mnafeli wapi?Ndalama zipi tena?
Mi mwenyewe na force nikimbie deni la taifa ๐น๐น๐น