Jicho lips na rangi 🔥La kumkata mtoto asiombe soda ya mgeni 😁
Kuna siku uliselfika sehemu ya mwili nikaanticipate muonekano wako utakua kama sportslady moja hv namuonaga Insta ila leo naona nlikuwa wrong!Natuma delivery akuletee fanta orange😁
Part gani hiyo ilikuwa ilofanya nionekane mshangazi 😁Kuna siku uliselfika sehemu ya mwili nikaanticipate muonekano wako utakua kama sportslady moja hv namuonaga Insta ila leo naona nlikuwa wrong!
😁 fanya utokezee naweJicho lips na rangi 🔥
Sina picha mpya nikiselfika nitakushtua😁 fanya utokezee nawe
Nipe sababu ya kushtukaSina picha mpya nikiselfika nitakushtua
Sio muonekano wa kishangazi, ngozi rangi ya Elizabeth MaykoPart gani hiyo ilikuwa ilofanya nionekane mshangazi 😁
Hapana huko sipo labda km ilikuwa snap.Sio muonekano wa kishangazi, ngozi rangi ya Elizabeth Mayko
Mbona mule mule tu!
😁😁 michezoMbona mule mule tu!
Vidole vizuri hivyo vinakosaje pete, njoo nikuoe basi
Yanga wamekubali kutumika kisiasa, fungua thread upigwe spana!Yanga dei bado hawajapandisha uzi? min -me nikawaidie kumtafuta Amanda
Maana Mad max ya Mbosso haina comeback
Me kuweka thread siweziYanga wamekubali kutumika kisiasa, fungua thread upigwe spana!
Nitakuita na maanisha😅Nipe sababu ya kushtuka
Sijashtuka muda mrefu
😁😁 ilinibana nikavuaVidole vizuri hivyo vinakosaje pete, njoo nikuoe basi
Tunaorodheshwa sijui ili iwejeNitakuita na maanisha😅
Hahahhaah andika jina la ukweli ukute mnagaiwa pesa je🤣Tunaorodheshwa sijui ili iweje
Nimegongewa eti tunaandikishwa kaya zote kwa ajili ya utafiti wa kilimo, nimewaambia mimi sio mkulima ila wameng'ang'ania nimewatajia jina na namba ya simu ya uongo
Thubutu! Nimewaambia naitwa MaimunaHahahhaah andika jina la ukweli ukute mnagaiwa pesa je🤣