Selfika na JF: Snap it. Show it

niite chief basi, maana kuni ita mboka manyema bila heshima yangu una kosea.

Utawala wa ki chief unge endelea kuwepo, huyu Kapachino ninge mgeuza mbeba matunda kunigwa.
Mitaa ya kujidai kiloleni halafu masagala shamba, niache mkuu wewe ni rais wangu wa majobless pro max hiyo heshima inatosha ๐Ÿ˜‚

Halafu kwanza mpango wa siri ni kufanya Tabora kuwa nchi huru, sidhani kama huu mpango unaujua? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
hahaha najua Sana, sitaki kuongea mengi nisije haribu code ๐Ÿ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ