Hahahaha wewe nakupa muda ngoja unizoee utajua ninavyoongea yaani hadi utakuwa unaona kero kuongea na mimi,, wanaoweza kunivumilia ongea yangu ni wachache.. maana ukiachilia mbali kuongea haraka pia nina tone moja mbovu sana
Kuna siku tulikuwa tunachat kwa group nikatuma voice note aise badala ya kuendelea kujadili mada iliyokuwa mezani watu wakaanza kujadili voice note yangu eti E huyo ni wewe kweli mbona sauti mbaya hivyo,, kuanzia siku hiyo nikajiapiza kutotuma voice note kwa mtu yeyote except kwa wale walionizoea.. yaani niko radhi nishushe essay kuliko kurecord voice note
I know it sounds weird, mimi mwenyewe niliishiwa na pozi: It was weird [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
E enh?! [emoji848]
Okay[emoji3]
[emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]niungishe best
Okey.I know it sounds weird, mimi mwenyewe niliishiwa na pozi: It was weird [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimeenda nyumbani kwa mchizi wangu dada yake hanifahamu, ile natoka akanifuata akaniuliza jina. Kachupa kadogo tu, kana bei kubwa hako na mpaka leo sijaona perfume iliyowahi nivutia kama ile.
Naona unahisi nadanganya eeeh ???Okey.
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]Naona unahisi nadanganya eeeh ???
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Itafute au tafuta aliyewahi kutumia halafu uje kunipa feedback mkuu.
Kumbe na wewe unaongea haraka??
Sema mimi nahisi sababu ya kigugumizi ndo maana naongeaga haraka haraka
Haha no mie sina kigugumizi,, ila basi tu sijui kwanini huwa naongea haraka halafu nina bass sasa.. double trouble kama siyo triple threat maana kuongea haraka tone mbaya mixer na bass mambo yanakuwa ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mwandiko wako tu wajeiefu waonesha umejaaliwa maneno...
Don reply back please [emoji4]
ππEndiwo [emoji1787][emoji1787]
Haha no mie sina kigugumizi,, ila basi tu sijui kwanini huwa naongea haraka halafu nina bass sasa.. double trouble kama siyo triple threat maana kuongea haraka tone mbaya mixer na bass mambo yanakuwa ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Byutiful...soooo byutiful ππ€£Haha no mie sina kigugumizi,, ila basi tu sijui kwanini huwa naongea haraka halafu nina bass sasa.. double trouble kama siyo triple threat maana kuongea haraka tone mbaya mixer na bass mambo yanakuwa ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
ππ½
Mwandiko wako tu wajeiefu waonesha umejaaliwa maneno...
Don reply back please [emoji4]
[emoji23][emoji23]
Am not surprised u are named E
Byutiful...soooo byutiful [emoji23][emoji1787]
Hahahaha and why shouldn't I reply back?? Ofcourse mie ni muongeaji mzuri tu but huwa naangalia mtu na mtu!!
πππWhy? Can you guess what it stands for? Don't tell me Edelyn cause utakuwa umebugi man!! You know what I'm saying?? [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]