Selfika na JF: Snap it. Show it

hahaha ume nikumbusha mstari wa tuna enda kazini, mida wanayo enda kitandani.

2023 hiyo niko na hasira za kupoteza muda, aisee nili kuwa active ka jini full ku focus.
Sasa hivi umejipata eeh! Hata ukipoteza mda fresh au sio ?

Wengine ndio hasira zinazidi kupandaa baada ya kupoteza miaka ya kuwa na hasara, hakuna kulala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…