binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 15,390
- 41,820
ππ Wewe bana na store yako, Sijui ni nani ni muongo kati ya wewe na store π€£nipo tu store, hata najua weekend.. hizo nasikia tamu eeh π
π π muongo ni store..ππ Wewe bana na store yako, Sijui ni nani mi muongo kati ya wewe na store π€£
Jamani warembo mko fire πππLamomy Mate umeamini kuwa niko na bi chaumbea? Angalia kucha za mkono wake na wangu.
View attachment 3465198
Wasalimie Misungwi, na karibu itigi.π π muongo ni store..
Mie weekend asubuhi around saa 8 hivi ndio pana changamka hapa Misungwi
Asante mate ππJamani warembo mko fire πππ
Kucha safi, tips zimetulia haziboi hazikeri π
Kwani nyie wenzetu mliumbwa siku gani?
Vyuma kuanzia vidole vinaonyesha classic π₯°
Haya mnipitie na mimi mtoko mwingine nikasafishe macho, hiyo kwenye glass brutal au Savannah π
Itigi mitaa yangu, Manyoni kijiweni π πWasalimie Misungwi, na karibu itigi.
Nimefurahi tu ndugu mjumbe..makaveli10 unaweza kunambia unacheka niniπππππ
muda slow .. 24 hours inapo change na kuwa few secondsDah wallahi siku jua kuwa leo ni siku gani, hata muda naona uko slow Sana.
Huyu mdogo wangu huwa βbody kinandaβ halafu haibadilikiβ¦.Beut , kwenye fikra zangu nikajuaga kibongeπ
Maybe, ila leo nime rudi mapema home since saa 8 nime kaa naangalia dunia ina endaje.muda slow .. 24 hours inapo change na kuwa few seconds View attachment 3465229
Safi sana..Maybe, ila leo nime rudi mapema home since saa 8 nime kaa naangalia dunia ina endaje.
Niko nasikiliza ngoma za wa asia hapa, wachina na wakorea ni π₯ π₯.Safi sana..
lazima mchanganyikiweπ€£π€£π€£ ukome kutufuatilia babuπππNimefurahi tu ndugu mjumbe..
Ila wewe na 1st born wako mtatuletea dhahama.. Mara 1st born, mara babe..
babe .. nimepita babe..helow nimekuja kipenzi
Nasikiliza haka huku, nachapa kazi.. hadi morning π.. ndio kurudi homeNiko nasikiliza ngoma za wa asia hapa, wachina na wakorea ni π₯ π₯.