πΉπΉπΉUmeikataa picha mazimaπππππ
Ngoja tu nije kukuonyesha Nkamu
Siwezi kuona pekeyangu Wakongwe wa uzi iwapite
ππππππππππππππππΉπΉπΉ
Sipendi mwanaume kuringa ringa yani sijui naonaje..!!
Halafu unakuta picha yenyewe sio yake anatupanga na bado alete pozi mfyuuu..!! π€£πΉ
Wakinga washapanda tayari πΉπΉ
We thubutuu, watu wa fashion tunaelewa hapo umepigaje..!! πΉπΉMimi na fashion wapi na wapi ππππ
Navaaga kama wamama wa kitulanoπ€£π€£π€£π€£
Si unaona sasa πΉπΉπππππππππππππππ
Yaani
Jamaa amejaza sana
Mimi mwenyewe nilikuwa nimegive up
ππππWe thubutuu, watu wa fashion tunaelewa hapo umepigaje..!! πΉπΉ
Hiyo body kali sana wanaielewa wazungu tu.
Sio wabongo kina karungu yeye wanaona mabonge ndio wanawake wazuri π€£πΉπΉ
Peng.Mkuu.. Umeniita mimi au binti wa zamani maana watu wanatuchanganya hizi ID.
Mi bado nipo kitaa View attachment 3465142
πΉπΉπΉ We nkamu tupia kitu hiko, hiyo body ya kina Naomi Campbell upige swimming costume sasa balaa lake ππππππ
Nikinunua elfu 2 hilo gauni
Halafu fupi,hata kuvaa nje siweziπ€£π€£π€£
Ngoja vibonge waje kujibrand,na wakati kutwa kucha wanahangaika kupunguza miili
πPeng.
Hizo ni juice gani aisee,Lamomy Mate umeamini kuwa niko na bi chaumbea? Angalia kucha za mkono wake na wangu.
View attachment 3465198
Za pera πHizo ni juice gani aisee,
Anaona utafaidi kuku wa bure abroad, huyu diaspora mchoyo sana..!! πΉπΉ
Basi utaenda kwa mia naye si anasemaga yupo abroad japo simuamini yule..!! π€£
Mama yangu...mi mwenyew simuamin kama wew tu ila tu amenyooka ujueπ nikimuona mimi hoi
nipo tu store, hata najua weekend.. hizo nasikia tamu eeh πZa pera π
Si unajua weekend ishafika?
Siku akikupeleka kigogo mburahati ndo utaelewa πΉπΉ
nambie first born wangu,, pole na kaziMama yangu...
thanks babe, Lamomy anataka apeperushe njiwa wangu...nambie first born wangu,, pole na kazi