Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 36,242
- 86,928
Hiyo picha ya kichawi mbona mimi sijaona em rudia 😥Haaahaa 😂 😁 tulikua tunapishanaa wewe ulikua hautulii 😅
Hiyo picha ya kichawi mbona mimi sijaona em rudia 😥Haaahaa 😂 😁 tulikua tunapishanaa wewe ulikua hautulii 😅
HamnaHaaahaa 😂 😁 tulikua tunapishanaa wewe ulikua hautulii 😅
Kwa kweli mimi sijaona kama ana sura ya kipole🤣🤣🤣kwahiyo haujaona hata kisura cha upole kama baba yake? 😅😅😅
Nkamu hujascreen shot nione mana hiyo picha anavyoringa nayo 😹😹😹Kwa kweli mimi sijaona kama ana sura ya kipole🤣🤣🤣
usisahau kuniita ukiiweka humu,,, alf nilisahau kukupa tenda maan bebi wangu kagraduate juzi tu hap ungemtengenezea😋Hapa nimetoka kupambana
Mwanangu anagraduate Jmosi...nimeandaa mapema kabla mambo hayajawa mengi.
Kesho nikiipamba nitaiweka hapa.
anayo sema ndo vile haujapata muda wa kuizoomKwa kweli mimi sijaona kama ana sura ya kipole🤣🤣🤣
Si shemeji tunae tayari, unachelewa nini? 😂Anaanza adriz kwnza me nitafata😃
Labda kwa vile sijaangalia kwa utulivuanayo sema ndo vile haujapata muda wa kuizoom
Kaa utulie hapa 🥃🥃🥃Hiyo picha ya kichawi mbona mimi sijaona em rudia 😥
Mwe tenda imenipitausisahau kuniita ukiiweka humu,,, alf nilisahau kukupa tenda maan bebi wangu kagraduate juzi tu hap ungemtengenezea😋
Nkamu niambie huyu Ibumex ni naniNkamu hujascreen shot nione mana hiyo picha anavyoringa nayo 😹😹😹
Haya nimefika siendi kokoteKaa utulie hapa 🥃🥃🥃
mimi ni mgeni ila tu nilipata wasaa wa kupitia post za nyuma za nyuzi mbali mbali ndo maan nimewafaham baadhi yenu🤗🤣Mwe tenda imenipita
Halafu hebu nikumbushe ID ya mwanzo
Hii naangalia mwandiko wa mwenyeji,jina geni.
Labda Nkamu Lamomy atakuwa amefungua code.
Anza kunipa picha nikutajie Ibu 😹Nkamu niambie huyu Ibumex ni nani
Mimi nakupa picha ya Dr😂😂😂
Wewe sio wa kupitwa kizembe hivi
Wewe ni bff wangu mfyuuu 😹😹mimi ni mgeni ila tu nilipata wasaa wa kupitia post za nyuma za nyuzi mbali mbali ndo maan nimewafaham baadhi yenu🤗🤣
ebu toka huko🤣🤣Anza kunipa picha nikutajie Ibu 😹
Yani member mzoefu wa Selfika
ukitoa siri nakufata hapo nije kukunyonga🤣🤣Wewe ni bff wangu mfyuuu 😹😹
Ndio 😹😹ebu toka huko🤣🤣