Selfika na JF: Snap it. Show it

MC πŸ˜‚πŸ™Œ
 
Woyooooo!! Muambieni ba tamu, nataka tulete twins wa ki half cast.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
Vile tumejipanga nyie totoeni tu sisi tutalea πŸ˜‚

Nyie jukumu lenu ni kupeana utamu tu malezi mtuachie siye πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Niache kwanza nna hasira kuna mtu nimetunza mzigo kwake halafu simu zangu hapokei na msg harespond..!! 😹😹😹

Nacheka huku nalia walahi sijui hata usingizi km nitapata aiseee..!!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ umeutunza store kwake au? Uko kwako ila hajafanya malipo?
Niambie kwani, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Vile tumejipanga nyie totoeni tu sisi tutalea πŸ˜‚

Nyie jukumu lenu ni kupeana utamu tu malezi mtuachie siye πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mejiiii ninao na ninatamba nao.
SK akuje afanye nilete wana mie, ugumba na utasa sio shida zetu kabisaa.
Mayai ninayo na ninatamba nayoo, alete mbegu tutotoe tuvitu vitu
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Million 50? Haya matusi sasa, sisi tunaandaa 100 πŸ˜‚

Kuhusu ng'ombe hapana hatuwezi mnasibisha shemeji yetu na mavi ya ng'ombe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Tafute kingine ila siyo ng'ombe πŸ˜‚

cocastic
We kwenda zako ng’ombe sifuti wako palepale na zizi nishaandaa 😹😹😹

Labda tuongeze Noah ya kutembelea baba mzazi, na plot mbweni hata ya square meter 600x400 sio mbaya 🀣😹
 
We kwenda zako ng’ombe sifuti wako palepale na zizi nishaandaa 😹😹😹

Labda tuongeze Noah ya kutembelea baba mzazi, na plot mbweni hata ya square meter 600x400 sio mbaya 🀣😹
Unapendekeza ng'ombe kama wasukuma πŸ˜‚

Tushalimaliza hilo ng'ombe zitakuja na nyongeza πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ umeutunza store kwake au? Uko kwako ila hajafanya malipo?
Niambie kwani, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Store kwake halafu nna wasiwasi kauuza nyie 😹😹😹
Biashara ikiamua kukula kiboga unaweza kuchinja mtu, hapa natakiwa kuclear kwa kina Jet li afu sielewi kubabeki..!!
 
Woyooooooooooo!!!!!
"Dada huyo anaolewaaa!!!, maliiii ishatolewaaaa"
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ni bonge la shere
Nderemo na vifijo
Kila meza na shampeni, mie nitaongeza mapulizoooo

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Store kwake halafu nna wasiwasi kauuza nyie 😹😹😹
Biashara ikiamua kukula kiboga unaweza kuchinja mtu, hapa natakiwa kuclear kwa kina Jet li afu sielewi kubabeki..!!
Wee dyadyaa si umuibukie maeneo yake,
Asikuletee giza au mambo meusii, afanye kukupa mzigo wako.
Km vipi chukua yake, hakuna kulembaa.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
😹😹😹 Tukaishi mbweni na sie kwa kina duli kizimkaze 🀣
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ila Mbweni, niliwahi enda, nilivurugwaa mbayaa.
Nikasema si unaweza kufa na sonona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…