win-one JF-Expert Member Joined May 28, 2024 Posts 3,009 Reaction score 9,112 Aug 24, 2025 #403,401 100 others nakuita
ApolloShadow JF-Expert Member Joined Jul 19, 2025 Posts 926 Reaction score 1,928 Aug 25, 2025 #403,402 Grahams said: Vijana wana haki kushindwa kujenga... Unawezaje kujenga wakati umezingirwa na PisiKali hivyo 😅🙌 Click to expand... 😅😅 wataishi kwenye nyumba tu za baba zao hakuna namna
Grahams said: Vijana wana haki kushindwa kujenga... Unawezaje kujenga wakati umezingirwa na PisiKali hivyo 😅🙌 Click to expand... 😅😅 wataishi kwenye nyumba tu za baba zao hakuna namna
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 18,903 Reaction score 57,681 Aug 25, 2025 #403,403 ApolloShadow said: 😅😅 wataishi kwenye nyumba tu za baba zao hakuna namna Click to expand... Nilipanga kuwafukuza nyumbani wajukuu wangu wa kiume, lakini nimeghairi Mitihani wanayopitia, Babu yao nimeiona dhahiri 😅
ApolloShadow said: 😅😅 wataishi kwenye nyumba tu za baba zao hakuna namna Click to expand... Nilipanga kuwafukuza nyumbani wajukuu wangu wa kiume, lakini nimeghairi Mitihani wanayopitia, Babu yao nimeiona dhahiri 😅
Shammy- JF-Expert Member Joined Dec 2, 2022 Posts 7,179 Reaction score 18,850 Aug 25, 2025 #403,404 mmekula🤪
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 18,903 Reaction score 57,681 Aug 25, 2025 #403,405 Nyamwi255 said: View attachment 3452477mmekula🤪 Click to expand... Mbona kidogo sana Mjukuu, upo kwenye kupunguza mwili nini?
Nyamwi255 said: View attachment 3452477mmekula🤪 Click to expand... Mbona kidogo sana Mjukuu, upo kwenye kupunguza mwili nini?
Shammy- JF-Expert Member Joined Dec 2, 2022 Posts 7,179 Reaction score 18,850 Aug 25, 2025 #403,406 Grahams said: Mbona kidogo sana Mjukuu, upo kwenye kupunguza mwili nini? Click to expand... Hapana babu nimekula hizo 3
Grahams said: Mbona kidogo sana Mjukuu, upo kwenye kupunguza mwili nini? Click to expand... Hapana babu nimekula hizo 3
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 18,903 Reaction score 57,681 Aug 25, 2025 #403,407 Nyamwi255 said: Hapana babu nimekula hizo 3 Click to expand... Hongera kama umemaliza sahani 3 peke yako Ingekuwa Mwaka 47, ungekuwa na sifa ya kuolewa kwenye Ukoo wetu Mwanamke mvivu kula, walikuwa wanahisi angeshindwa kuzaa watoto wengi Kwa Mume wake 🤗
Nyamwi255 said: Hapana babu nimekula hizo 3 Click to expand... Hongera kama umemaliza sahani 3 peke yako Ingekuwa Mwaka 47, ungekuwa na sifa ya kuolewa kwenye Ukoo wetu Mwanamke mvivu kula, walikuwa wanahisi angeshindwa kuzaa watoto wengi Kwa Mume wake 🤗
ApolloShadow JF-Expert Member Joined Jul 19, 2025 Posts 926 Reaction score 1,928 Aug 25, 2025 #403,408 😎
Shammy- JF-Expert Member Joined Dec 2, 2022 Posts 7,179 Reaction score 18,850 Aug 26, 2025 #403,409 min-you
T 1990 ELY JF-Expert Member Joined Sep 7, 2014 Posts 12,936 Reaction score 30,099 Aug 26, 2025 #403,410 Nyamwi255
Shammy- JF-Expert Member Joined Dec 2, 2022 Posts 7,179 Reaction score 18,850 Aug 26, 2025 #403,411 T 1990 ELY said: Nyamwi255 Click to expand... Umekula?
T 1990 ELY JF-Expert Member Joined Sep 7, 2014 Posts 12,936 Reaction score 30,099 Aug 26, 2025 #403,412 Nyamwi255 said: Umekula? Click to expand... Nimekula nini mkuu?
Leejay49 JF-Expert Member Joined Feb 10, 2023 Posts 19,299 Reaction score 60,931 Aug 26, 2025 #403,413 Nikapange Tu sasa,. Maana haya maisha ya kuweka pombe kwenye kikombe ili usijulikane kama unakunywa sio poa aisee🥺
Nikapange Tu sasa,. Maana haya maisha ya kuweka pombe kwenye kikombe ili usijulikane kama unakunywa sio poa aisee🥺
Red black JF-Expert Member Joined Nov 29, 2019 Posts 12,033 Reaction score 37,324 Aug 26, 2025 #403,414 Nyamwi255 said: View attachment 3452477mmekula🤪 Click to expand... Mtoto hujaweka kucha bandia safi sana..nikikumbuka na ile voice yako ni balaa🤣
Nyamwi255 said: View attachment 3452477mmekula🤪 Click to expand... Mtoto hujaweka kucha bandia safi sana..nikikumbuka na ile voice yako ni balaa🤣
Red black JF-Expert Member Joined Nov 29, 2019 Posts 12,033 Reaction score 37,324 Aug 26, 2025 #403,415 Leejay49 said: Nikapange Tu sasa,. Maana haya maisha ya kuweka pombe kwenye kikombe ili usijulikane kama unakunywa sio poa aisee🥺View attachment 3454037 Click to expand... Huo upaja😳
Leejay49 said: Nikapange Tu sasa,. Maana haya maisha ya kuweka pombe kwenye kikombe ili usijulikane kama unakunywa sio poa aisee🥺View attachment 3454037 Click to expand... Huo upaja😳
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 18,903 Reaction score 57,681 Aug 26, 2025 #403,416 Leejay49 said: Nikapange Tu sasa,. Maana haya maisha ya kuweka pombe kwenye kikombe ili usijulikane kama unakunywa sio poa aisee🥺View attachment 3454037 Click to expand... Umefanya hadi nimevaa miwani yangu ya macho, kuweza kusoma ujumbe uliombatana na picha 😅 Kweli Wajukuu ninao 🤗
Leejay49 said: Nikapange Tu sasa,. Maana haya maisha ya kuweka pombe kwenye kikombe ili usijulikane kama unakunywa sio poa aisee🥺View attachment 3454037 Click to expand... Umefanya hadi nimevaa miwani yangu ya macho, kuweza kusoma ujumbe uliombatana na picha 😅 Kweli Wajukuu ninao 🤗
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 18,903 Reaction score 57,681 Aug 26, 2025 #403,417 Red black said: Huo upaja😳 Click to expand... Kumbuka hiyo picha yenyewe imepigwa na giza hili, lakini Chumba kizima kimewaka 🤗
Red black said: Huo upaja😳 Click to expand... Kumbuka hiyo picha yenyewe imepigwa na giza hili, lakini Chumba kizima kimewaka 🤗
Red black JF-Expert Member Joined Nov 29, 2019 Posts 12,033 Reaction score 37,324 Aug 26, 2025 #403,418 Grahams said: Kumbuka hiyo picha yenyewe imepigwa na giza hili, lakini Chumba kizima kimewaka 🤗 Click to expand... Sio poa mzee huyo mtoto atanifanya nikaibe benki🤣
Grahams said: Kumbuka hiyo picha yenyewe imepigwa na giza hili, lakini Chumba kizima kimewaka 🤗 Click to expand... Sio poa mzee huyo mtoto atanifanya nikaibe benki🤣
Leejay49 JF-Expert Member Joined Feb 10, 2023 Posts 19,299 Reaction score 60,931 Aug 26, 2025 #403,419 Red black said: Huo upaja😳 Click to expand... Ndio ulichokiona au sio
Red black JF-Expert Member Joined Nov 29, 2019 Posts 12,033 Reaction score 37,324 Aug 26, 2025 #403,420 Leejay49 said: Ndio ulichokiona au sio Click to expand... sasa mama hapo kuna nini kingine