Kesho kuna pilau kwa jirani mie niponipo tu mpaka saii sijui haka kakichwa kangu ntakafanyeje sina kiuno cha kukaa kusuka na seleka zitaanza mapema sana!
Lovelovie ephen_ min -me naombeni mwongozo pulllliiiiiiiizzzz!!!
Mtanibip kunijuza nifanyeje nimechoka narrarra mieeh!!
Kesho nayo siku wapendwa π€π€π€π€π΄π΄π΄π΄π΄π΄