Itakuwa Iyovi hii, mwanzo mwanzo huku ukiwa watokea Moro...
Hizi kona kuna jamaa alikuwa ananikimbiza almanusira apate ajali maana ilikuwa usiku, mimi natembea 150, njia naijua...
Sasa kuna zile kona fulani hivi ni kali kama unazunguka duara hivi upande wa abiria...
Jamaa nilimuona kwenye rear mirror anahaha upande wa pili kuirudisha gari kati, alikuja nipata Ipogolo pale sijui wanapaitaje kuna sehemu ya snacks ni kama fuel station+supermarket+washrooms, ndio akaanza simulia tabu aliyoipata...