Selfika na JF: Snap it. Show it

Proudly Tanzanians njoeni tuwake View attachment 3447369
Enzi za mafundisho church hivi vitu tulikuwa tunaonja sana ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Halafu father alikuwa muholanzi siku aliyotushtukia tulisemwa kwenye misa ya kwanza Hadi ya tatu..!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Sasa kulikuwa na sis angu na shost wake wanaendaga wanakoishi ma father na mafrateli na sisi wadogo zao tukawa tunaunga aiseee nyie hao mafaza wanakula bata sio pouwa..!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Shosti ake sis mpk akazaa na mmoja wao, mengine ni hatari ๐Ÿค
 
Ila umejikomboa mdogoangu kuliko kutembea huku unaacha mguu mmoja nyuma au kukimbilia mwendokasi km mimi ๐Ÿ˜ฅ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ vya muda hivi nikirudi arusha narudi mwenyewe na liacha
 
Vaa wig
 
Hahahaha kumbe nawapangaga๐Ÿ˜…
We mtu gani kila siku unaleta watu wapya? ๐Ÿ˜น

Kuna siku ulurusha pic ya mtu namfahamu mwanzo mwisho nilicheka mpk machozi ila nikazuga..!! Na ni mchaga pure kwa baba na mama, nawe ulisema mchaga.

Mwanzo nikajua ni wewe kweli so nikaogopa nikajua ungenitambua ila baadae ulivyotupia mwingine nikasema min kumbe anatupanga ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Hahaha sijawahi wapanga kamwe , kwanza umenifahamu wapi? Unajua hapo kariakoo padogo๐Ÿ˜…
 
Unajua huyo jamaa tulisoma wote MU yani namfahamu kuliko unavyofikiria ilibaki kidogo anikule, nishamuoshesha vyombo sana vikenge ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Ile picha ya juzi niliweka kuna mtu alinitaja hadi jina pm ,halafu ni I'd mpya , hizi mambo za kuselfika sitafanya tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ