Mwanaume unakuwaje model em njoo unisaidie kuweka dawa mahindi..!! ๐นWAKUU Mimi ni MGENI humu naitwa prince Alex khalifa najishughulisha na mitindo, comedy& football. Asanteni sana
Sasa unatusumbua vya nini? ๐นPicha hakuna lamo
Si mmesema tutafute magari ata ya urithi tuTutakoma tusio na magari safari hii ๐น๐น๐น
Enzi za mafundisho church hivi vitu tulikuwa tunaonja sana ๐น๐นProudly Tanzanians njoeni tuwake View attachment 3447369
Ila umejikomboa mdogoangu kuliko kutembea huku unaacha mguu mmoja nyuma au kukimbilia mwendokasi km mimi ๐ฅ๐น๐นSi mmesema tutafute magari ata ya urithi tu
๐๐ vya muda hivi nikirudi arusha narudi mwenyewe na liachaIla umejikomboa mdogoangu kuliko kutembea huku unaacha mguu mmoja nyuma au kukimbilia mwendokasi km mimi ๐ฅ๐น๐น
Kwahiyo km unatupanga tusitoe maoni yetu ๐น๐นNow sitafanya hivyo kamwe , mnasema nikiselfika sio sio mimi , poor mind ๐ฅฒ๐ฅฒ๐ฅฒ
Hahahaha kumbe nawapangaga๐Kwahiyo km unatupanga tusitoe maoni yetu ๐น๐น
Vaa wigKesho kuna pilau kwa jirani mie niponipo tu mpaka saii sijui haka kakichwa kangu ntakafanyeje sina kiuno cha kukaa kusuka na seleka zitaanza mapema sana!
Lovelovie ephen_ min -me naombeni mwongozo pulllliiiiiiiizzzz!!!
Mtanibip kunijuza nifanyeje nimechoka narrarra mieeh!!
Kesho nayo siku wapendwa ๐ค๐ค๐ค๐ค๐ด๐ด๐ด๐ด๐ด๐ด
We mtu gani kila siku unaleta watu wapya? ๐นHahahaha kumbe nawapangaga๐
Hahaha sijawahi wapanga kamwe , kwanza umenifahamu wapi? Unajua hapo kariakoo padogo๐We mtu gani kila siku unaleta watu wapya? ๐น
Kuna siku ulurusha pic ya mtu namfahamu mwanzo mwisho nilicheka mpk machozi ila nikazuga..!! Na ni mchaga pure kwa baba na mama, nawe ulisema mchaga.
Mwanzo nikajua ni wewe kweli so nikaogopa nikajua ungenitambua ila baadae ulivyotupia mwingine nikasema min kumbe anatupanga ๐น๐น๐น
Unajua huyo jamaa tulisoma wote MU yani namfahamu kuliko unavyofikiria ilibaki kidogo anikule, nishamuoshesha vyombo sana vikenge ๐น๐น๐นHahaha sijawahi wapanga kamwe , kwanza umenifahamu wapi? Unajua hapo kariakoo padogo๐
Ile picha ya juzi niliweka kuna mtu alinitaja hadi jina pm ,halafu ni I'd mpya , hizi mambo za kuselfika sitafanya tenaUnajua huyo jamaa tulisoma wote MU yani namfahamu kuliko unavyofikiria ilibaki kidogo anikule, nishamuoshesha vyombo sana vikenge ๐น๐น๐น
Inawezekana kweli nilishakaribia kukukula lomo๐Sio wewe ila ulimpost kutupanga.. ๐น๐น
Kwa ile ya mwaka jana sio wewe ๐น๐นIle picha ya juzi niliweka kuna mtu alinitaja hadi jina pm ,halafu ni I'd mpya , hizi mambo za kuselfika sitafanya tena
Mbona za mwaka jana hata sikua naweka sura kihivyo?Kwa ile ya mwaka jana sio wewe ๐น๐น
Hizi za juzi sijui
Yule sio wewe namfahamu bana ๐น๐นInawezekana kweli nilishakaribia kukukula lomo๐
Sasa mimi nikamtolea wap?๐Yule sio wewe namfahamu bana ๐น๐น