Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahaha..........nitakushawishi ukatiki Kwa bucket 2 za beer 🤗

Hamuwezi kutuachia Wazee peke yetu ndiyo twende kutiki hiyo Oktoba 😜
Hahahaha ziwe bia za maana tu , sio local babu🤣
 
Kiwanda cha vumbi Tanzania
 
Attachments

  • PXL_20250810_103329873.jpg
    PXL_20250810_103329873.jpg
    404.9 KB · Views: 8
Mchezo wa vijora kutoka baada ya siku tatu kila siku afu tatu..!! 😹😹

Leteni majina nishushe mkeka 🤣

Mselfike na vijora pambe picha zinoge waungwana 😹🤣
 
Mchezo wa vijora kutoka baada ya siku tatu kila siku afu tatu..!! 😹😹

Leteni majina nishushe mkeka 🤣

Mselfike na vijora pambe picha zinoge waungwana 😹🤣
Vijora ndio nini ? Nasikia kila siku ukiviuza🤔
 
Mchezo wa vijora kutoka baada ya siku tatu kila siku afu tatu..!! 😹😹

Leteni majina nishushe mkeka 🤣

Mselfike na vijora pambe picha zinoge waungwana 😹🤣
Anko T anasema mdada kila siku kijora hichohicho hadi kimechanika begani kuonyesha kwamba kimekuchoka😂
 
Back
Top Bottom