dosho12
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 3,732
- 9,962
😂😂 Haya bwanaArsenal hata sio timu ya mimi kuteseka ikitufunga , mbio zenu hata hamjui mnakimbiza nini , now kufungwa kawaida tu.
😂😂 Haya bwanaArsenal hata sio timu ya mimi kuteseka ikitufunga , mbio zenu hata hamjui mnakimbiza nini , now kufungwa kawaida tu.
Hakika MkuuHakika, na fungu la kumi tutoe, sisi wote na tulivyonavyo ni mali ya Mungu
Arsenal ya 25/26 ya moto.Arsenal hata sio timu ya mimi kuteseka ikitufunga , mbio zenu hata hamjui mnakimbiza nini , now kufungwa kawaida tu.
Huko kuzuri, sioni boda wala mawakala uchwara.From church, umeudhuria ibada leo lakin
View attachment 3444276
Kabisa lazima tuchukue aidha epl au uefa msimu huuArsenal ya 25/26 ya moto.
AF-1
OkArsenal ya 25/26 ya moto.
Mambo ya Mwaka 47 hayo 😜AF-1
Aseno nayo timu sasa 🤣🤣Na sikia wamefunga kamoja ila kama wamekalia moto
Hebu pumzika Mjomba 🤣🤣🤣Umefika muda muafaka, umeona matokeo lakini😂
Mimi hata siwafikiriagi kabisa😅Aseno nayo timu sasa 🤣🤣
leo napumzika kwa amani sana 😂😎Hebu pumzika Mjomba 🤣🤣🤣
Hebu wekeni mada nyingine tuchangie, kuhusu Arsenal na mambo yake hamuwezi kuizungumzia timu ambayo Kwa miaka 3 mfululizo inamaliza juu yenu 🤗Mimi hata siwafikiriagi kabisa😅
Dah nipo peke yangu humu, 😅😅 mada ibadilishwe tuHebu wekeni mada nyingine tuchangie, kuhusu Arsenal na mambo yake hamuwezi kuizungumzia timu ambayo Kwa miaka 3 mfululizo inamaliza juu yenu 🤗
Ni kwel na mimi huwa sinaga tabia ya kuizungumzia timu haina hata UEFA mkuu kwa leo nimejikosea sanaHebu wekeni mada nyingine tuchangie, kuhusu Arsenal na mambo yake hamuwezi kuizungumzia timu ambayo Kwa miaka 3 mfululizo inamaliza juu yenu 🤗
Upo beer ya ngapi MkuuNi kwel na mimi huwa sinaga tabia ya kuizungumzia timu haina hata UEFA mkuu kwa leo nimejikosea sana
Tupo wengi, wengine ndiyo tumejificha tu na kusoma kimya kimya 🤗Dah nipo peke yangu humu, 😅😅 mada ibadilishwe tu
Sitiki mkuu😆Upo beer ya ngapi Mkuu
Hebu tuzungumzie mambo ya Oktoba tunatiki ama laa 😜