Game la Man u vs Man city nina bet wakishinda Man united nitaweka picha bila ku crop
kama namuona carbamazepine anavyogonga nyagi kisa 2-1 😅😅sawa bae,pole kwa game ya leo na karbu tusherehekee ushindi
Ndio bado nimebakiza two young sisters hapo, next year nnakamilisha
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Yo bro, time to fulfill ya promise
Hahaha kichwa cha mb kile hana lolote...kama namuona carbamazepine anavyogonga nyagi kisa 2-1 [emoji28][emoji28]
Sasa bae hiyo pole ni ya city au the blues? Emu nije nyumbani kwanza
Ilikua ni konyagi bro sio mimi kabisaYo bro, time to fulfill ya promise
Hivi ukiua kwa kutokusudia unasema ilikua man slaughter sio....na je mshtakiwa kama akitoa ahadi wakati ana furaha au kalewa tunasema hakuwa na free consent ehhYo bro, time to fulfill ya promise
Haha MB atajitahidi angekuwa KB ndio ingekuwa msala....Hahaha kichwa cha mb kile hana lolote...
Hii ni pole ya the blues bae,fanya uje kwanza
Yani kwanza nasubiri upost zile pic za wakubwa mida ndiyo hii watoto wamelala[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Me mwenyewe mtotoYani kwanza nasubiri upost zile pic za wakubwa mida ndiyo hii watoto wamelala
Hahaha aiseeHaha MB atajitahidi angekuwa KB ndio ingekuwa msala....
Blues[emoji119]....nipo nausaka
Mtoto mjanja wewweMe mwenyewe mtoto
Ilikua ni konyagi bro sio mimi kabisa
Hivi ukiua kwa kutokusudia unasema ilikua man slaughter sio....na je mshtakiwa kama akitoa ahadi wakati ana furaha au kalewa tunasema hakuwa na free consent ehh
Ccm tutaitoa madarakani mwaka gani mkuu hahahahaHahah...
Never hunt what you can't kill
Hahah...Ccm tutaitoa madarakani mwaka gani mkuu hahahaha
[emoji23][emoji23] we dogo nani anaongea kwa kuremba? Yan pale ujue nilikukazia sauti?
Afu sipati picha huko kuongea haraka haraka plus Yale macho yako mlegezo kama nakuonaa vile huwa unarembua [emoji7]
If you join them maadaui kubali kuwa mnafikiHahah...
Hao watu waliachiwa nchi na mabeberu,hakuna wa kuwatoa...
If you can't fight them, join them
Hujui kula na asiyeona(kipofu) inaruhusiwaIf you join them maadaui kubali kuwa mnafiki