NimeaminiSijakudanganya kabisa babeView attachment 1284876
Very nice...na nimeipenda ile uliyofuta [emoji7]
Nimeamini
Na city nae anapigwa tu[emoji23][emoji23][emoji23]Weekend leo imenipeleka man city [emoji28] maana the blues walishazingua
Mhh! Eti unaongea haraka haraka...mbona ile juzi ulikuwa unaongea kwa pozi?
Sijakudanganya kabisa babeView attachment 1284876
Usiku mwema.
Namba ngeni ndio unaziletea pozi?Hahahaaa sasa namba si ilikuwa ngeni,, we ngoja nikuzoee uone.. huwa naongea faster sana hasa nikiwa nasimulia jambo
Lol nakupa hint,, ukitaka kujua namna mtu anavyoongea angalia matumizi ya alama kwenye uandishi wake.. thank me later
Nionee huruma basiπ π sema sio mbaya nitakuwa mgeni wa ningendakoNa city nae anapigwa tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Uje uchukue nyagi upunguze machungu
Sio kiivyoo....ila nimeipenda π tena iko savedIle ilikuwa inaniacha uchi hapa [emoji23][emoji23]
I miss youNionee huruma basiπ π sema sio mbaya nitakuwa mgeni wa ningendako
Namba ngeni ndio unaziletea pozi?
Hiyo hint naomba uifanyie mfano kwangu..eeh me naongeaje?
Hapa ni maeneo ya Stella Maris ya Marian?? Ulienda kumchukua mwanafunzi nini??
I miss u more...kesho nitakuwa kuleI miss you
HahahSubiri narudi ninywe kwanza
ππ we dogo nani anaongea kwa kuremba? Yan pale ujue nilikukazia sauti?Yeah kwa mtu mgeni huwa naongea kwa staha ila walionizoea wanajua ninavyoongea
Wewe katika uandishi wako kwenye matumizi ya alama uko vizuri na hata ile juzi ulikuwa unaongea kwa kuremba yaani mimi nikiongea taratibu naona kama nachelewa kumaliza
sawa bae,pole kwa game ya leo na karbu tusherehekee ushindiI miss u more...kesho nitakuwa kule