Babe wangu mzuri ngoja nitoke nikanyooshe miguu...Lamomy njoo uone mkono kabla haujafutwa
Nazijua nilitaka kumchefua tu πΉπΉπΉkwahiyo hata namba za bebi wako ulikua hauzikumbuki au makusudi tu π€£
Ilikuwa kwa ajili ya binti wa zamani, lamomy hatudaianiLamomy njoo uone mkono kabla haujafutwa
πΉπΉπΉπΉWatu weeeweeeehhhhhh!! ππ
ππ
Faida gani wakati inagaiwa bure πΉπΉAsipokulipisha, atapigaje faida hapo yeye mtu wa kati π
Mnatupa hasira za kutafuta pesaSina deni nawe teeeena.
Awwww πππSina deni nawe teeeena.
sawa kipenzi,, ukirudi tu nambieBabe wangu mzuri ngoja nitoke nikanyooshe miguu...
na mimi nimemuita kwa kisabengo aje aone uumbaji π€£π€£π€£Ilikuwa kwa ajili ya binti wa zamani, lamomy hatudaiani
Mjukuu una mambo saana wewe ππ€£na mimi nimemuita kwa kisabengo aje aone uumbaji π€£π€£π€£
ndio babu sijataka udugu apitwe π€£π€Mjukuu una mambo saana wewe ππ€£
Mbona una visa hivyo, kweli umeniwekea Kapic na hujanitag πIlikuwa kwa ajili ya binti wa zamani, lamomy hatudaiani
Shemeji yako ana ndinga, leseni si unayo mdogo wangu?na mimi nimemuita kwa kisabengo aje aone uumbaji π€£π€£π€£
Ilikuja ofisini kwangu, car wash, nikaambiwa niisogeze sehemu nzuri nikaioshee huloAwwww πππ
Maka huyo mnyama Volvo wa moto unamsukuma!!
Mnanionea saana π³π³Mbona una visa hivyo, kweli umeniwekea Kapic na hujanitag π
Haina haja ya hasira mkuu.Mnatupa hasira za kutafuta pesa
kabisa dada saivi jua la daslam litatuonea ndani ya ndigaπShemeji yako ana ndinga, leseni si unayo mdogo wangu?
Tuwe tunapokezana kudrive πΉ
Tushapata gari la kwendea bagomoyo weekend kula bata..!! πΉπΉπ₯