Nakuja kukusaidia usafi nyumba itakua chafu toka wifi kaondoka, nitakujibu huko huko πΉπΉπΉSasa lile ombi langu vipi!?
ππ€£
Hizo tamaa, mimi nikupe pesa wakati nyie mnapewa bure π₯πΉπΉNipe 500k. natuma mzigo wa pesa bure kabisa
π π hakuna Mangi fala πNipe 500k. natuma mzigo wa pesa bure kabisa
πΉπΉπΉWewe tena CHAKA LIMEMPATA MNYAJI..
π€£π
Huyo binti wa zamani utatafuta picha ya kumpa
Ila we mtoto ni mzuri..nikija daslam naomba niwe nakusaidia kuchana huo uchebe π€π
Asee mangi fala anatoka wapi aseeeππ π hakuna Mangi fala π
Ubongo wako mgumu kuelewa πΉπΉKwani nikiwa mbele siruhusiwi kuchati na watanzania?.
toba toba toba π€£π€£π€£π€£ asante sana swilati π₯°Ila we mtoto ni mzuri..
Umepita live... π π
hata Google haina majibu ya urembo wako⦠nime search nikapata Error 404...
Uwaonee huruma ili iweje Mangi?Niwaoneee huruma au nitume picha ya kuwaiatisha tamaa ,gademiiit π π π
Hakuna!Asee mangi fala anatoka wapi aseeeπ
umesahau kama anakunywa?Ubongo wako mgumu kuelewa πΉπΉ
Mimi nasema mshamba hachekwi sio wewe..!!
Hio chocolate color imenimaliza..toba toba toba π€£π€£π€£π€£ asante sana swilati π₯°
πΉπΉπΉ Swilati was necessary?toba toba toba π€£π€£π€£π€£ asante sana swilati π₯°
Hahaaha kumbeπ π laumu pombe na sio ubongo wangu madamπUbongo wako mgumu kuelewa πΉπΉ
Mimi nasema mshamba hachekwi sio wewe..!!
Akumbuke kuna mkinga pia sio fala πΉπ π hakuna Mangi fala π
si penzi jipya na wew auπ€£π€£πΉπΉπΉ Swilati was necessary?
Ila JF ina matapeli wa kimataifa
πΉπΉπΉsi penzi jipya na wew auπ€£π€£
Asipokulipisha, atapigaje faida hapo yeye mtu wa kati πAkumbuke hakuna mkinga pia sio fala πΉ
Wao mitumba wapewe free sisi atuuzie thubutuu..!! π€£
Dah!!πΉπΉπΉ
Mi nishampa muonekano wako, kazi kwake kuipata pic kamili sasa..!!
Watu weeeweeeehhhhhh!! ππNakuja kukusaidia usafi nyumba itakua chafu toka wifi kaondoka, nitakujibu huko huko πΉπΉπΉ
kwahiyo hata namba za bebi wako ulikua hauzikumbuki au makusudi tu π€£πΉπΉπΉ
Yani nimecheka, babe wangu nilimtibua akaniblock na mimi nikadelete namba zake..!!
Baada ya siku 3 ananipigia anasema unaendeleaje swilati? Nikamuuliza wewe swilati yupi? Akasema nakuja kukuua Lamomy acha ungese..!! πΉπΉπΉ
Nikamwambia bana wee km hujitambulishi nakukatia simu. π€£
Dakika mbili huyu hapa kaja kufumania..!! πΉ
Sasa mi kosa langu nini? Ukiniblock nakueka kundi la maex kiroho safi..!!