vyote vyote ila nipo kwenye mchakato ππππMchakato wa nyokweπ€£
Badilisha jina hili jina lina sounds kiumevyote vyote ila nipo kwenye mchakato ππππ
Maweeeeeeeeeeh πββοΈ, jamani imekuwaje tena nikakosa kuliona likaka lihandsamu πMaka πππ»
Binti wa zamani we mshangazi unapitwa huku, hivi Maka umemuona?
Yani vile vitu vyenye tunavipenda wadada Maka anavyo sasa full package ohhh π»π»
Limaka lizuri nyie ππ
Halafu lina rangi nzuri sio white sio black yani rangi imeni turn on..!! π₯°
sawa min nichagulie jina la,kike basiBadilisha jina hili jina lina sounds kiume
Toto misambwandaπ€£π€£sawa min nichagulie jina la,kike basi
Nimefika Mangi, naona nimepitwa.Mama la mama umekuja kumbeπ
astagfulilah hili hapanaToto misambwandaπ€£π€£
Hivi hujui kwamba online interactions inaweza kupelekea mtu akampenda mtu mwingine? kunakuwa na deep emotional connection...Na wewe unaamini anapata kisukari kwa mtu ambaye hajawahi kumuona?
Kumbe wewe kuibiwa ni sekunde 0
Mhmmm kaoneastagfulilah hili hapana
π π huyo ni wewe kabisa, hako kamwili na mitupio yako nimeshaikakariri.ephen_ Anadai sio mimi na nina badilika kama kinyongaπ
bonge la dada...sawa min nichagulie jina la,kike basi
Kaka tuanze kunywa BIABadilisha jina hili jina lina sounds kiume
Ndugu yangu pole sana..!!Maweeeeeeeeeeh πββοΈ, jamani imekuwaje tena nikakosa kuliona likaka lihandsamu π
makaveli10 , makaveli10 , makaveli10 - nimekuita mara tatu, hebu niwekee hicho kitu πΈ roho ifurahi πππ
bonge la dada anatakiwa awe amefungasha nyuma, sasa mimi ni afu lela ulelaπ€£π€£π€£π€£bonge la dada...
Kaa nayo tu uifungulie na masijala uitunze..!! πΉπΉπΉ
Mwana kwetu, nimesikitika sana, daaaah π!Ndugu yangu pole sana..!!
Maka katuma pic mara mbili hapa, ila ya pili ile ya kiutu uzima yenyewe mwana kwetu naam πππ
Ile sura na ule uchebe akikukiss lazima uloe π€£π€£
Lamo mtoto mzuriππππKaa nayo tu uifungulie na masijala uitunze..!! πΉπΉπΉ
Shauri yako...Unajitungia maneno, hajasema ananipenda.
πΉπΉπΉMwana kwetu, nimesikitika sana, daaaah π!
Hapo kwenye kuloa sasaa π hamna namna inabidi πΈ irudiwe tu.
makaveli10 hebu njoo buanaaa!