Daah ππ,. Eti maziwa Lita 100Hongereni sana
Sisi tuliozaliwa zamani wakati ambapo Lita 1 ya maziwa fresh ilikuwa ikiuzwa 100 ndiyo tulibahatika kuwa na hiyo miili π€
Huyo kuwa na hiyo afya mmejitahidi sana
UsiwazeUnishtue sasa maka π₯²
Nikajua ushatupia maka π₯Usiwaze
πππππHebu nielezee kidogo udugu, huyu kiumbe natamani nimuone mana ananichekesha sana na mambo yake..!! πΉπΉ
πππππ uduguu umerogwaa? Huyo jamaa limbwata kalifuma wapii? LolAlafu darling nikupe sirii π
Mikwako chalii moyo na mwili π₯°
Kama mie gari we ndio tairi π
Usije ukaenda mbali utanihadhirii π
Amina amina na iwe kheri amina π
Lita 1 ya maziwa shilingi 100Daah ππ,. Eti maziwa Lita 100
Boss la kigamboni
Hujascreen shot udugu unionyeshe jamani πΉπΉπΉπππππ
Na anaonekana hata kwa picha, ni ana mambo mengi haswaa.
πΉπΉπΉπΉπππππ uduguu umerogwaa? Huyo jamaa limbwata kalifuma wapii? Lol
Duh kuna watoto wazuri
Haya mambo ndio yamefanya nifanye mchakato kuo raia wa kigenii πDuh kuna watoto wazuri
Dah, we ni wa kunisagia kunguniimi.πππππ
Na anaonekana hata kwa picha, ni ana mambo mengi haswaa.
Subiri niweke viziba uso, kumbe huku mnaweka viziba usooo,Nikajua ushatupia maka π₯
Weka ss hivi hawapo bana πΉ
Baki na huo mpicha wako mana unajikuta km nini.. βΉοΈSubiri niweke viziba uso, kumbe huku mnaweka viziba usooo,
π€£πππBaki na huo mpicha wako mana unajikuta km nini.. βΉοΈ
ππ€£πππ
Sitaki na team lenyewe nahama..!! πMie nawe hatuishi hivyo lamomy
Njoo uchukue jezi ya arsenal