Wewe eng mbabe wavita...πππππ
Wee huyo ana wake humu ndani, naogopa kupopolewaa. Lol
Aririiiiiiiiiii!! Mzee wa hall V Em niaminishe ulinzi thabiti km kweli upoo?Wewe eng mbabe wavita...
Hamna wakukupopoa humu
Mimi kwanza takulinda Kwa lolote lile
Ena Figo alikupiga tukio, ππππWeee
Mimi hamna MTU wakunipiga tukio, nilipigwa mwaka 2014 when I was new comer...
11 years now, hamna chaka silijui jf
Heeπππππ
Kuna mtu aliwahi nambia, siku tukae mie na Anco T tuchambane,
Kuna maneno mapya yataibuka ambayo hayajawahi kusikikika
ππππππ
πππππHee
Hicho kichambo sikipatii picha
Ila Anko T amezidi jamani khaah!π
HayaJunia anahitaji mdogo wake boss uchangamke,,,msimu ujao patachimbika ,,,,
Tayari sie tuna cunha, mbuemo, sessko, soon baleba na new gk !
Na sauti lake lileπππππ
Mie napenda anavyochamba kwa kufokaa.
Ananiacha hoiii.
πππππNa sauti lake lile
Hahaha sio tele huko maninahπππππ
Hivi ikawajee kidney aliwaliza watu vilee?
Kuna app nawaliza wapumbavu hatarii, ππππ
πππππ Chinooo em niwachee, toka hapaa.Hahaha sio tele huko maninah
Dalali nani kwani unatumia!πππππ Chinooo em niwachee, toka hapaa.
Kwakweli niko busy balaa na kupikaπ
ππππππDalali nani kwani unatumia!
Juzi kati mwanangu mmoja namwambia hii 20k Yako Kaa nayo achana na madalali uchwara Hawa hawatoi connection yeyote ukituma wanakulima block hakunisikiliza.
Wahuni nyie mna piga sana Hela za maboya!! Namko shapu kwenye kuiahamisha miamala sekunde nyingi.ππππππ
Chino acha kuharibu ajira za watu, pumbaavu wee.
πππππ hatariiii sanaaaWahuni nyie mna piga sana Hela za maboya!! Namko shapu kwenye kuiahamisha miamala sekunde nyingi.
Huyu ni wewe..