Selfika na JF: Snap it. Show it

Dotnata wee ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Nikimuona naona km namuona coca vile na maneno yao..!!
Bibi weee
Eti unazaa utadhani unashindana michezo ya umisenta sijui umitashumntA

Anamalizia na cheko lake hooohoy๐Ÿ˜†๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ

Umeona ile ya wadada wa Dodoma eti wamepauka hawapaki mafuta๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Nkamu mbona hii km unanisema mimi ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Hivi watu kuzaa wameeka sifa?
Halafu kila mtoto na baba yake na wote choka mbaya..!! ๐Ÿ˜น
 
Nkamu mbona hii km unanisema mimi ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Hivi watu kuzaa wameeka sifa?
Halafu kila mtoto na baba yake na wote choka mbaya..!! ๐Ÿ˜น
Anko T anasema mtu ana uwezo kidogo mzalie kidogo mtoto mmoja tu
Pea 1 ya soksi tabu ila unamzalia kama umechanganyikiwa,
Asubuhi pua hilo limevimba, mchana pua limevimba jioni pia limevimba
We mtotoo๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ๐Ÿฟ
Anko T anajua kuchamba jamani
Eti baadaye watoto wanakufunika na mito puani unakufa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Hii imeenda ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Dodoma imekua kuliko Mbeya ila huwezi kuta miti na hali ya hewa nzuri hivi katikati ya Jiji.
The same applies to DSM.
Ndio maana jua linawatandika hadi utosini.
 
Attachments

  • PXL_20250805_114929403.jpg
    449.6 KB · Views: 15
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ