Selfika na JF: Snap it. Show it

leo furahidei
"...furaha' itapatikana wapi wakati waTanzania wanafanyiwa uovu toka kwa watu walio amini kuwapa uongozi ili wawatumikie; na sasa wanalazimishwa kukubali waendelee kuwa madarakani?
Hakuna furaha, mpaka Tundu Lissu aachiwe toka gerezani.
Hakuna furaha hadi GENGE la Samia liondoke madarakani
Hakuna furaha wakati raslimali za nchi yetu zikifujwa hovyo
Furaha itatoka wapi wakati waTanzania wanageuzwa kuwa watwana wa watu wengine.

Tanzania tutakuwa na furaha tukisha maliza kazi ya kulitokomeza GENGE la Samia Suluhu Hassan.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…