😹😹😹 Kuniwin mimi inatakiwa ujipange kisawa sawa..!!
Kuna siku nilimkaribisha ex wangu home akajua namrudia, nilimwambia ukikaribia kufika nishtue akasema, sawa hamna shida..!!
Alivyokaribia akaniambia nipo kona ya kuingilia kwako nikasema sawa utafungua gate uingie niko kuoga..!!
Hapo kulikua na mbwa mpya nimemnunua sasa nilitaka nione ufanisi wake kwenye kukamata wezi nikamuachia 😹
Anaingia tu askari huyu kakamata miguu aliita mimi kimya…!! 🤣😹😹