Mnanitafuta ya moyoni muanze kusema Lamomy anaharibu kijiwe..!! ๐น๐น๐น
Zile picha za mwaka jana alikua nani? ๐น๐น
Hahahha nilikua sifichi uso hizi umejuaje wakati naficha uso ๐คฃZile picha za mwaka jana alikua nani? ๐น๐น
Naona mtu mwingine leo min ๐คฃ
Mhmmmm hivi mtu akitaka kuwa babe wako anatakiwa awe mababe kiasi gani lamo? Unaonekana ngumi mkononi kinoumaNishapita naked mbele ya babe wangu chino sirudii tena, nisije kuachika bure..!! ๐น
Zile ulikua white huku tena naona upo black ๐นHahahha nilikua sifichi uso hizi umejuaje wakati naficha uso ๐คฃ
Picha tu , ila nyie simnapenda weusi tu? Acha ninywe bia mimi๐คฃZile ulikua white huku tena naona upo black ๐น
Upo nitume nyingine mbili tena?Zile ulikua white huku tena naona upo black ๐น
๐น๐น๐น Kuniwin mimi inatakiwa ujipange kisawa sawa..!!Mhmmmm hivi mtu akitaka kuwa babe wako anatakiwa awe mababe kiasi gani lamo? Unaonekana ngumi mkononi kinouma
Hahahahaha wewe utakuja kamatika tu ๐คช๐น๐น๐น Kuniwin mimi inatakiwa ujipange kisawa sawa..!!
Kuna siku nilimkaribisha ex wangu home akajua namrudia, nilimwambia ukikaribia kufika nishtue akasema, sawa hamna shida..!!
Alivyokaribia akaniambia nipo kona ya kuingilia kwako nikasema sawa utafungua gate uingie niko kuoga..!!
Hapo kulikua na mbwa mpya nimemnunua sasa nilitaka nione ufanisi wake kwenye kukamata wezi nikamuachia ๐น
Anaingia tu askari huyu kakamata miguu aliita mimi kimyaโฆ!! ๐คฃ๐น๐น
Hivi kwanini Sumbai asimdate da Mau jamani watupunguzie dipresheni jukwaani? ๐น
Weeh ile uko tofauti bana..!!Picha tu , ila nyie simnapenda weusi tu? Acha ninywe bia mimi๐คฃ
Huyu wa mwisho ni kinyago ila watu kuwa na ubinadamu wanaona wamsitiri tu๐ฎHivi kwanini Sumbai asimdate da Mau jamani watupunguzie dipresheni jukwaani? ๐น
Au nimekumbuka amchukue Marry ๐น
Tuma nikuone ๐Upo nitume nyingine mbili tena?
๐น๐น๐นHahahahaha wewe utakuja kamatika tu ๐คช
Marry Diana imemsikia min anakuchokoza huku ๐น๐น๐นHuyu wa mwisho ni kinyago ila watu kuwa na ubinadamu wanaona wamsitiri tu๐ฎ
Sa itakuaje mchuchu hahaha๐น๐น๐น Kuniwin mimi inatakiwa ujipange kisawa sawa..!!
Kuna siku nilimkaribisha ex wangu home akajua namrudia, nilimwambia ukikaribia kufika nishtue akasema, sawa hamna shida..!!
Alivyokaribia akaniambia nipo kona ya kuingilia kwako nikasema sawa utafungua gate uingie niko kuoga..!!
Hapo kulikua na mbwa mpya nimemnunua sasa nilitaka nione ufanisi wake kwenye kukamata wezi nikamuachia ๐น
Anaingia tu askari huyu kakamata miguu aliita mimi kimyaโฆ!! ๐คฃ๐น๐น
Tofauti bana, we yule wa mwaka jana alikua hot nusu nimuache Mangi wangu nijieke..!! ๐น๐น๐น
Hahahahahaha huyo demu akataka akudangie akaona Lemadam linamihela,Dr. Mariposa nikuchekeshe ๐น๐น
Jana nilienda live band, sasa bana mizuka nikajikuta natunza napaishwa pale Le madame bosslady Lamomy..!!
Ghafla nikapata machawa, saa ngapi nisimtongoze demu mmoja ๐คฃ๐คฃ
Nikapiga na vitraco vyake akajua mi lesbian, acha anigande ๐คฃ๐คฃ
Nyie mipombe sio mizuri unaweza kufanya vitu vya ajabu halafu ukajuta ๐น๐น
Na wewe zamu yako inakuja si unajifanya mjuaji ๐น๐นSa itakuaje mchuchu hahaha