Sio tamqaaTatizo ana tamaa akiona mdada kafungasha tayari anasahau km kuna Lamomy ๐น
Okay okayLeo weekend itakua amebanwa na wateja
Ila kama salam nitazifikisha.
Baada ya kuishiwa pesa ๐นAlikua amepotea miezi 6?
Sasa karejea baada ya kutumia nini?
Ha ha ha!! Sumbai unahalalisha chino achepuke? ๐นSio tamqaa
Sisi wanaume ni dhaifu, shetani anatuteka
Wala sio yeye ni sheitan, tumuombeee
Ubuyu mpya, hebu mwagika vizuri ๐น๐นPunguza ushamba wa kutongoza na kulala na kila mwanamke humu. Wewe ni kokoro? Una miaka 37 lakini unajifanya eti mzee halafu unatongoza hovyo hovyo tu kila mwanamke humu. Unamtia aibu mkeo na watoto hapo Kigamboni na Mbeya. Jiheshimu bana. Tunaomfahamu mkeo tunasikitika sana. Acha ulimbukeni na tulia na mkeo. Be a real man! ๐๐๐๐
dahBaada ya kuishiwa pesa ๐น
Mbona hukunitag ?๐ nimesikitika sana
Upo?Mbona hukunitag ?๐ nimesikitika sana
Ndiyo nipoUpo?
MhmmmNdiyo nipo
Emoj inakunyima pumzi utazimia kwa kukosa hewa๐Hii nimenyoa
View attachment 3419526
Nini jamani?Mhmmm
Hahahaha chap kama upepoEmoj inakunyima pumzi utazimia kwa kukosa hewa๐
Nikilewa usishangae nikaachiaNini jamani?
Si halalishi kabisaa tena nakemeaHa ha ha!! Sumbai unahalalisha chino achepuke? ๐น
Upo bia ya ngapi? ๐Nikilewa usishangae nikaachia
Naomba hizo sneakers
Nimetulia tu hapaUpo bia ya ngapi? ๐