Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,152
- 10,393
Wew si ndo CIA wa chama mkuu, fukua tu 😂Hakuna haja kufukua amesikia upo ameleta picha😃😃
Ushindwe wewe tuu
Wew si ndo CIA wa chama mkuu, fukua tu 😂Hakuna haja kufukua amesikia upo ameleta picha😃😃
Ushindwe wewe tuu
Acha kutishia nyau wewe 😂Usi lalamike niki anza mashambulizi😁🦅
Ngoja siku nikikufunga za kutosha nitafukua ujifariji🤣🤣Wew si ndo CIA wa chama mkuu, fukua tu 😂
Wasipoleta hatupost kitu🤣🤣Razorblade Kwa hiyo wote tumekubaliana hatuta selfika mpaka tuone Intelligent businessman kaselfika na Cammilla si ndio 😁😁
Yani mpaka unifunge, embu fukua bhana nimuone mrembo wangu mie.Ngoja siku nikikufunga za kutosha nitafukua ujifariji🤣🤣
Bila wao sisi si kitu 😂Razorblade Kwa hiyo wote tumekubaliana hatuta selfika mpaka tuone Intelligent businessman kaselfika na Cammilla si ndio 😁😁
Eti yeye mwenyewe anamuita Mi Amor 😂Kabisa hakuna kunguni hapa mtoto ana vigezo wadau wameona
Selfika.Nyoa tu anza upya, sema muda mwingine dawa zinaharibu sana nywele
Acha kurusha kwa kutafuta ushirika 😂
Tafuta hela kaka😃😃😃Mtoto katulia, pisi imenyooka 🔥
Hapo umejituliza unawaza uje na kisa kipi cha mapenzi
Halafu huyu kijana Intelligent businessman anadhani mama mtu wangu ni kama tandam lake 😂Tafuta hela kaka😃😃😃
Kiroho safi kabisa mkuuHapo umejituliza unawaza uje na kisa kipi cha mapenzi
Kwishaaa 😂
Acha miyeyusho hujui mi ni raisi wa chama Cha ma jobless pro max, haya matusi ume anza lini😂🦅hongera
una muonekano wa hela kabisa braza
Nakaziaa🔨hongera
una muonekano wa hela kabisa braza