Daah! Polee sanaUsijal nimetulia mahali nasikilizia tu ila bado ipo kwa mbali ๐ฎโ๐จ
DahDaah! Polee sana
Huwa inakutokea hiyo hali? Au leo ndiyo siku ya kwanza?
Leo mara ya kwanzaHuwa inakutokea hiyo hali? Au leo ndiyo siku ya kwanza?
Hiyo ya kubana pumzi haijakusaidia?Leo mara ya kwanza
Sawa, polee sanahapana nimetulia tu ngoja nijitulize kidogo, nikiondoka nakufika home akujibu , nipo masaa mawili tu
Yooh Mangi uko sawa sasa hivi, pole sana ๐ซNipo Road tena msituni,kwikwi inanisumbua leo mpaka mpaka mbavu zinauma, nimeshuka kwenye gari nimelala chini tu jamani๐ญ๐ญ
We ni chizi sana ๐คฃMaka yani nimerudia kusoma tena nacheka km chizi ๐น๐น๐น
Wavuta wida wote peponi..!! ๐คฃ
๐๐คฃ๐คฃ, nimerudia kusoma comment zakoUmenitia genye falah weeh!! ๐น๐น
Ngoja nihifadhi hii comment kwa matumizi ya baadae..!! ๐น๐น๐น
Ila maka unaonekana una balaa km demu kala pesa yako baada ya show atakurudishia muamala..!! ๐คฃ
Pole mzeeDah kwikwi ni noma leo imeninyoosha
Nimeshapoa bwashee , hata sijui ilitoka wapi?Pole mzee
Kwikwi ina sababu nyingi, kikubwa upo salama mzee.Nimeshapoa bwashee , hata sijui ilitoka wapi?
Duh ndio mara yangu ya kwanza , imenitesa mno bwasheeKwikwi ina sababu nyingi, kikubwa upo salama mzee.
Uuh pole aisehDuh mda sana , ile kitu noma nimeteseka mno
Sante sanaUuh pole aiseh
SawaSante sana