Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 36,212
- 86,850
Bina mbona hujatupia na kafoto kako sasa? 😥
Bina mbona hujatupia na kafoto kako sasa? 😥
Nipo nishafikaHahaha Angel Nylon njoo nikuulize jambo...
Fungua pm...Nipo nishafika
SawaIko wapi🤨 mimi sijaona😌
Here?🙃Sawa
Store fupifupi fotos kwawingi !Hahaha Angel Nylon njoo nikuulize jambo...
Hiyo imekaa poa, mapema tu unakuwa high 🤗Poa ikishindindikana nitakuja na nyagi kwenye koti nikifika niagize tonic tu kupunguza bajeti 😃 😀
Ndiyo Mkuu, nilikuwa hapoNaona Unasubiria mchemsho ulipoa hapo 🤣🤣
Hahaha.......hizo nguvu za kutoka na Bibi wa kambo ninazo basiBabu nakataa wakati naona kabisa upo na bibi wa kambo hapo..!! 😹
Huko hakuna nyoka kweli??
Wapo wengi tu hapa tumekaa kimtego nimekimbizana na nyukiHuko hakuna nyoka kweli??
Huko hunipeleki kwa namna yoyote,naogopa nyoka kupita kiasi!!Wapo wengi tu hapa tumekaa kimtego nimekimbizana na nyuki
Mimi si nipo nitakubeba ilo wala usijarHuko hunipeleki kwa namna yoyote,naogopa nyoka kupita kiasi!!
Nitakung'ang'ania huniachi hata hatua moja!!Mimi si nipo nitakubeba ilo wala usijar
Duh sema nimechoka sana leo kipnzNitakung'ang'ania huniachi hata hatua moja!!
Pole Sana Baba Uswege,mfupa wa nini huo sweet???