Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 14,131
- 33,902
Weekend imeshaanza huko kwenu?Karibu weeknd π
Ndio mbona kuanzia leo asione mama gwamaka kama unatak kuja πWeekend imeshaanza huko kwenu?
Haya acha nikoge nije kisiri siri π na baMtu wangu naye asijueNdio mbona kuanzia leo asione mama gwamaka kama unatak kuja π
Kuna kitu nilitaka kuandika nikafuta π ππΉπΉπΉ Hamna nimesoma day mbona Halafu kata π€£
Awaaaa swafiiii kabisa ni kiwizi wizi tyHaya acha nikoge nije kisiri siri π na baMtu wangu naye asijue
Andika sasaKuna kitu nilitaka kuandika nikafuta π π
Bro we baki Moonshiner tu πMimi niliiga makaroni nilimwaga yote kumbe ni mavitu ya hovyo tuπ
Ahahah ni kama chatgptWe huyo Lamomy ana majibu unaweza lala data iko on kwa majibu yake π€£
Tunasubiri free photo za vitambi ninavyobembea π€£Tulijua tuko peke yetu kumbe mnatuzooom tu π€£π€£π€£
Ila wanga mtamu jamani tuache utani π€£π€£Ngoja nimalize kula, niko kwenye diet πΉ
makaveli10 hivi group O na nyama tuna undugu? Yani nimeshindwa kula huo mchicha na mayai peke yake nimemwambia dada weka na nyama..!! π€£
Haa! Nilikuwepo hapo mzee mwenzangu π€£π€£
Kwanini umefuta? πΉKuna kitu nilitaka kuandika nikafuta π π
Nahisi nyota π― zetu ni za simba π¦ π¦βNgoja nimalize kula, niko kwenye diet πΉ
makaveli10 hivi group O na nyama tuna undugu? Yani nimeshindwa kula huo mchicha na mayai peke yake nimemwambia dada weka na nyama..!! π€£
πΉπΉπΉ Nyoko we ndiomana damu zimeendana..!!Nahisi nyota π― zetu ni za simba π¦ π¦β
Na tusiishie hapo tu, tuendane mpaka tuendane tena.πΉπΉπΉ Nyoko we ndiomana damu zimeendana..!!
Umepita kwa da Marry lakini? πΉπΉNa tusiishie hapo tu, tuendane mpaka tuendane tena.
Sijauona huo uzi, mie nikiingia JF nyuzi zitakazojileta ndio hizo hizo, ikinivutia nachangia.Umepita kwa da Marry lakini? πΉπΉ
Kakiwasha huko kuna mwana JF kakutana naye kwenye kibegi kuna pima maji na mwiko..!! π€£
Hebu pitia ukatanue mbavu mshkaji wangu πΉπΉπΉSijauona huo uzi, mie nikiingia JF nyuzi zitakazojileta ndio hizo hizo, ikinivutia nachangia.