ChapuAbee
Wait kwanza Mkuu nipo busy kidogo nakujaChapu
Nilitupia wewe ulikuwa wapi? ๐นNa wewe tupia lamo
Sio vibaya hata sasaNilitupia wewe ulikuwa wapi? ๐น
Nilitupia nikapita shwaah ila kuna chakubimbi aliniona akascreen shot..!! ๐น๐นTupia wako kwanza
Mi sijaona, tupia sasa hivi niko hapa nimekodoa ๐Nilitupia nikapita shwaah ila kuna chakubimbi aliniona akascreen shot..!! ๐น๐น
Ngoja nimalize kula, niko kwenye diet ๐นSio vibaya hata sasa
Mboga za majani๐Ngoja nimalize kula, niko kwenye diet ๐น
makaveli10 hivi group O na nyama tuna undugu? Yani nimeshindwa kula huo mchicha na mayai peke yake nimemwambia dada weka na nyama..!! ๐คฃ
Kiive kwanzaChef wangu Mwachiluwi njoo u-guess tunapika nini leo.
View attachment 3409034
View attachment 3409036
Umegoma kabisa kuingia jikoniNgoja nimalize kula, niko kwenye diet ๐น
makaveli10 hivi group O na nyama tuna undugu? Yani nimeshindwa kula huo mchicha na mayai peke yake nimemwambia dada weka na nyama..!! ๐คฃ
๐น๐น๐น niutoe wapi sasa?Tupia wako kwanza
Tulia hapo hapo ๐นMi sijaona, tupia sasa hivi niko hapa nimekodoa ๐
Nasubiri kama nasubiria gari la helaTulia hapo hapo ๐น
Njoo ule tayari nishaanza kufanya maangamizi.. ๐นMboga za majani๐
Cha kuungua kitu gani? ๐น๐นUmegoma kabisa kuingia jikoni
๐๐๐Njoo ule tayari nishaanza kufanya maangamizi.. ๐น
Ss hivi napita shwaah ๐นNasubiri kama nasubiria gari la hela
unitag tuSs hivi napita shwaah ๐น
Hivi kungwi hivi vidude vina kazi gani? ๐นunitag tu