π π hamna nilicho haribu maMtu, nilibadilisha simu, pasipo kuhamisha vitu. Password huwa sikalili, pia email niliyofungulia account ni ya mchongo.. hata ku reset password haiwezekani.. ndio imeenda vile.. karibu bubiki tupige nyagi maMtubaMtu tuanze taratibu, kisa cha kubadili ID ni nini?
Umeharibu wapi?
Pole baMtu π«π π hamna nilicho haribu maMtu, nilibadilisha simu, pasipo kuhamisha vitu. Password huwa sikalili, pia email niliyofungulia account ni ya mchongo.. hata ku reset password haiwezekani.. ndio imeenda vile.. karibu bubiki tupige nyagi maMtu
Unapata ipi maMtu , au ka wine π·Pole baMtu π«
Aaanha mimi hiyo mipombe mikali hapana!
Ka wine hapo sawa baMtuUnapata ipi maMtu , au ka wine π·
π π nakuaguzia maMtu.. hadi unafika itakuwa nayo imefikaKa wine hapo sawa baMtu
Sasa huko Shinyanga nitapata white wine kweli?
Mama Ashrat πβ¦β¦.
Sawa baMtu ππ π nakuaguzia maMtu.. hadi unafika itakuwa nayo imefika
hope your doing well maMtu πSawa baMtu π
Niko poa kabisa baMtu ππ½hope your doing well maMtu π
Mapenzi ya kihindi hayoπ
haya maMtu naengia shambani sasa kulimaNiko poa kabisa baMtu ππ½
Haya kapige kazi baMtu ulete hiyo hela nyumbani!haya maMtu naengia shambani sasa kulima
nalima hadi jasho la meno.. uje unifundishe English basi maMtu πHaya kapige kazi baMtu ulete hiyo hela nyumbani!
baMtu hakikisha hilo jasho linatirirka mpaka kooni, cha msingi segerumba π° ulilete home.nalima hadi jasho la meno.. uje unifundishe English basi maMtu πView attachment 3407848
ππ mzungu tenaWeka leooo mzunguuu!!
Sijui Sikuhizi unaogopa nini kutupia walevi hata sio waoga Mbona
πππ mwaka wa ChatGPT huu π π π .. itaulizwa kila swalibaMtu hakikisha hilo jasho linatirirka mpaka kooni, cha msingi segerumba π° ulilete home.
Kingereza anza kujifunza hapo chini, read out loud hizo sentensi kaulimi kaanze kuzoea kingeredhaaa!
View attachment 3407897
Imeniambia unalima kilimo cha umwagiaji na kipindi cha mavuno kimekaribia.πππ mwaka wa ChatGPT huu π π π .. itaulizwa kila swali
sawa maMtu πImeniambia unalima kilimo cha umwagiaji na kipindi cha mavuno kimekaribia.
Piga kazi baMtu π€£