Wallah haki ya nani nilitoboa siri karibu zote na mimi nikilewa mdomo huwa hauna break,, japo pia mimi kunywa hadi kulewa ni mara chache mno na wala sina uraibu wa pombe kihivyo huwa sipendi kufikia hatua hiyo maana daah najijua..

Lol mie sipendi ulevi ila ladha ya hivyo vyombo ndiyo inanifanya nakunywa,, laiti kama vingekuwa havina vilevi yaani vingekuwa kama sharubati tu basi hela zangu zingekuwa zinaishia huko..