min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 60,539
- 175,240
Hahaha live mimi ni mpole sana , mpaka usikie nimeongea ni ngumu mno huwa naongea ndani kwa ndani tu ,😅Mlevi mmoja mpole sana ausio 😁😁!!
Weee inaonekana kiuhalisia mkorofi balaa!
Kwanza sikuhizi unaogopa nini kutupia 🤳🤳????🤨