Usiku mwema tena, hapa najiandaa kutoka lindo, Leo nazianza mapemaaa 😅😅😅Sawa usiku mwema
Usiku mwema tena, hapa najiandaa kutoka lindo, Leo nazianza mapemaaa 😅😅😅Sawa usiku mwema
😂😂😂Mim nikifikiria nawaza kulala tu leoUsiku mwema tena, hapa najiandaa kutoka lindo, Leo nazianza mapemaaa 😅😅😅
Ndio wapi mkuu?Karibu ushirombo
Na mie nawaza chupa ya kvant au nyagi😂😂😂Mim nikifikiria nawaza kulala tu leo
Burundi mkuuNdio wapi mkuu?
Umeshashindikana wewe😁😁😁😁Na mie nawaza chupa ya kvant au nyagi
Nimepiga kahawa yangu pale uswahili, hapa natwanga nyagi na maji ya kutosha plus redbul asubuhi ndio naingia kulala 😅😅😅Umeshashindikana wewe😁😁😁😁
siji huko mkuuBurundi mkuu
Kheeeeee kama hujalala nje ww leoNimepiga kahawa yangu pale uswahili, hapa natwanga nyagi na maji ya kutosha plus redbul asubuhi ndio naingia kulala 😅😅
Kulala ni asubuhi 😅😅Kheeeeee kama hujalala nje ww leo
Kuna hela hukusiji huko mkuu
kaka mimi ni raisi wa Chama Cha ma jobless pro max, hela waachie waoKuna hela huku
😁😁😁Mi nalala wewe keshaKulala ni asubuhi 😅😅
Karibu tukeshe, toka umeanza kulala usingizi haushi 😅😅😁😁😁Mi nalala wewe kesha
Me kukesha naweza vzuri ila leo naumwa wacha nitulieKaribu tukeshe, toka umeanza kulala usingizi haushi 😅😅
MAfua tu 😅Me kukesha naweza vzuri ila leo naumwa wacha nitulie
Cha moto kama?MAfua tu 😅
Ungepita kitu cha moto mbona yanakimbja
Tequila huwa unatumia 😅😅Cha moto kama?
Sinywagi kabisa😂😂Tequila huwa unatumia 😅😅
Kwanini mkuuSinywagi kabisa😂😂