Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,988
- 177,222
100 others kiongozi do the needful nina usingizi nataka nikauchape saii π΄π΄π€π€ππ
Lavyuuuu more sis akee!!πππππβ₯οΈβ₯οΈβ₯οΈπππππππππLove u
Aisee, ngoja nitafute ...100 others kiongozi do the needful nina usingizi nataka nikauchape saii π΄π΄π€π€ππ
Niko hapa Nasubiria unibles ndio nisinzie ! ππππAisee, ngoja nitafute ...
Niko hapa Nasubiria unibles ndio nisinzie ! ππππ
Sijaona Nimepitwa Jamani rudia dakika sifuri saivi niko kodo sipepesi hata kopeeππ³
Awwwwwwwwπ€©π€©π€©π€©π€©π€©ππ!!
Usiku mwema pia...Awwwwwwwwπ€©π€©π€©π€©π€©π€©ππ!!
What a gentleman siksipak zakushatroooπ₯π₯π₯π₯ ππ!!
Hakika usiku wangu unaenda kuwa furrreeeeeeesssshhhhhh kabisa!
Wabheja sana kiongozi!
Umeamkaje ,Binti
Nikakutag jana hukutokeaUmeamkaje ,Binti
Nimeamka vibaya mafua kumbe yanauma hadi mwili wote πππUmeamkaje ,Binti
Aisee pole sana, mafua ni usumbufuNimeamka vibaya mafua kumbe yanauma hadi mwili wote πππ
Jana majukumu yalikua mengi,uni tagNikakutag jana hukutokea
Yani ni hatariAisee pole sana, mafua ni usumbufu
Pole sana, ukiona yanazidi sana ujue kuna mtu una mmissYani ni hatari
Pole mkuu, piga nyagi utaponaaNimeamka vibaya mafua kumbe yanauma hadi mwili wote πππ
π π πPole sana, ukiona yanazidi sana ujue kuna mtu una mmiss
πππUuuh nyagi tenaPole mkuu, piga nyagi utaponaa