Ndio maana mala moya kwa wiki, aisee.. tukianza mchana hadi alafajiri au asubuhi.. yani unakuta siku ingine unalala getini alafu fresh π π π π ...

Kuna sehem nilikua nafanya kazi mkoani, basi bana wengi tumetoka mkoa tukimaliza kazi tunaenda kulewa, Kuna huyo mmoja wenzie walikua wanamkuta kalala chooni
Kuna sehem nilikua nafanya kazi mkoani, basi bana wengi tumetoka mkoa tukimaliza kazi tunaenda kulewa, Kuna huyo mmoja wenzie walikua wanamkuta kalala chooni na asubuhi.
Ongeza ongezaaa, maisha yenyewe haya hayaaa.. unapiga vitu Hadi unaona upo ulimwengu mwingine π π π π .. zamani ndio tulikuwa unapiga vitu plus shishaa sijui walikuwa wanawake nini khaaa
Kuna sehem nilikua nafanya kazi mkoani, basi bana wengi tumetoka mkoa tukimaliza kazi tunaenda kulewa, Kuna huyo mmoja wenzie walikua wanamkuta kalala chooni
Ongeza ongezaaa, maisha yenyewe haya hayaaa.. unapiga vitu Hadi unaona upo ulimwengu mwingine π π π π .. zamani ndio tulikuwa unapiga vitu plus shishaa sijui walikuwa wanawake nini khaaa
haha! shisha walikuwa wanaongeza vitu vyao, plus maji ... aiseee, ila sasa hivi tumebakiza maji, ile unayachapaa kama hujazima, mida ya kajua unawaambia wakuwekee kakiti juani huku unamalizia chupa zilizobaki, mda mwingine ndio unalala na hapo hapo